Home
Unlabelled
odinga ndani ya zenji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
a.alaikum michuzi na ndugu wana blogi, nimeona bro michuzi umeandika uwanja wa kimataifa wa zanzibar lakini kiukweli haswa huo uwanja haujafikia kiwango cha kupewa jina hilo,naomba viongozi msikie kilio chetu wazanzibari tunanyanyasika sana iweje leo ndugu zetu wa bara wana uwanja wa kimataifa dont get me wrong sisemi kama wasiwe nao ila tunasikitishwa kuona ikiwa sisi ni kama ndugu ilikuwa na sisi tufikiriwe kujengewa kiwanja cha kisasa kitakachoweza kutuwa ndege kubwa kubwa,natumai bro michuzi utazifikisha hizi salamu kwa waheshimiwa viongozi wa ngazi za juu asante.
ReplyDeletenyie gombanane kwa siaisa tu , msijenge uwnaja wa ndege wala wa njiwa ...
ReplyDelete