Mashindano ya kwanza ya Miss Burundi yamefanyika mjini Bujumbura wikendi ilopita na mhsindi kupatikana. shoto ni 2nd runner up Marie Claire Panafrica,Miss Burundi 2008 Kaneza Alida,1st Runner up Nkurunziza Evelyne.
Wadau wa East Africa Model Search nao walikuwepo. toka kushoto Sammy,Michelle,Tuma,Ange na Bertille.


mmmh!! aya tunaomba amani zaidi kwa Taifa hili
ReplyDeleteDuh! Hwa wakija bongo si wote watakuwa na ma-miss kila mwaka! Wanapendeza kwa kweli
ReplyDeleteHongereni ma Miss wa Burundi!Mnakaribishwa sana Tanzania kuja kusalimiaga wandugu wenu jamani!You are so beautifull!Winnie nakusalimia kwa sana!Visit us in Dar,Mwanza,Arusha and so many other attractive places like Spicy Zanzibar!Karibuni!Tunawapendaga Wandugu!
ReplyDeleteTulikuwa nao warembo kama hawa pale UDSM miaka ya 1995 wakisoma sheria. Walikuwa kama 6 hivi. Walifanya kosa kurudi kwao baada ya kumaliza tu. Taaluma ziliishia airport. Nikiwatazama hawa, nasikitika sana.. Roho inaniuma. Nakua kama nawaona wale wakina dada. They were too you and beatful to die so prematurely!
ReplyDeletekweli hao mabinti ni wazuri,duh.mungu awasaidie nchi yao iwe na amani,tutaenda kuchukua wachumba
ReplyDeleteMdau hapo juu, wakija bongo wataambulia patupu, shenzi type kagame type Tsu wahead, wamekalia kuuana na kuvamia majirani zao Congo
ReplyDeleteMi naona kwenye picha ya chini Michelle na Bertille wangekuwa kwenye mchuano ndo wangepaswa kuwa washindi maana wanawaka si mchezo.....
ReplyDeleteMadem waKirundi na wanyarwanda jamani wazuri eti wadau mnasemaje??
ReplyDeleteHawa watoto wanshindia maziwa ya mgando na nyama za kuchoma,ugali wa muhogo kwa mbali,hakuna mkorogo.Tena kinachofurahisha hawaringi hata kidogo,lakini kwetu bongo demu alishindania miss kata tu basi salamu mpaka umuanze wewe tena atajishauri ajibu au la.
ReplyDeleteNawashauri wadae watembelee Jiji la Bujumbura ukajionee mambo haya kwa kuwa kuna amani sasa.Wabongo wanafagaliwa sana na ukimwi si mwingi sana(Usiache Kuvaa Condom Lakini)
Sina la zaidi
Mdau wa Sinza
They need some meat on their body.
ReplyDeleteLabda ni macho yangu yananidanganya.
ReplyDeleteWanaonekana washindi wote ni WATUTSI.
How East Africa model agency's women????? Those three women need to eat.
ReplyDeleteGoddam wamekondeana! Hebu washauri wale chakula jamani. Mikono kma mgonjwa wa Ukimwi!
ReplyDeleteAminia..madem wazuri kweli.
ReplyDeleteWe nani kakwambia mamiss wanene??always ma miss ni wembamba acha ushamba.
ReplyDelete