juzi nimepita karibu na majengo haya ambayo redio mbao zinayaita 'EPA Towers' na kukuta moshi mzito unafuka toka moja ya majengo pembezoni. kuna mdau anayeweza kufafanua hapa?


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Ilitakiwa uwajibike kita kikosi cha zima moto. Sio kukaa kimya na siku tatu baadae kuandika humu.

    ReplyDelete
  2. hapo naona kuna ushahidi unapotezwa
    maana huku tanzania database ni ya kusuasua kuna files za wakubwa zinachomwa tu hapo...by mdau Uk

    ReplyDelete
  3. just going off on a a limb, but it's possible they were burning old notes. Central banks have to do that to all worn out bills that are to be taken out of circulation.
    Just a guess

    ReplyDelete
  4. Anon wa kwanza...bongo kuna kikosi cha zima moto kinachofanya kazi kweli? Wakija si utasikia hatuna maji, nk
    Na Nalitolela...hizo notes ninachomwa moto katikati ya mji? Hawana furnace?

    mtoto

    ReplyDelete
  5. HILI JENGO LIPO MAENEO GANI

    ReplyDelete
  6. Could all of us think possitively otherwise, why dont we think of electrical generators?

    ReplyDelete
  7. Yeah ni kweli kila mara moshi huu uonekana katika hizo EPA towers lakini niliwahi kuulizia na kutaarifiwa ya kuwa ni ZOEZI la KUCHOMA moto fedha zilizochakaa ambalo linafanyika katika jengo hilo hivyo si ajbau mara kwa mara kuona moshi huo

    ReplyDelete
  8. Benki kuu iko katika kutekeleza moja ya majukumu yake.

    kuteketeza noti zilizochakaa na zilizochanika chanika vipande!

    Na bila kukosea jengo lenye hilo 'tanuru' liko hapo kushoto kama unaingia Benki kuu.

    ReplyDelete
  9. wanachoma pesa za zamani

    ReplyDelete
  10. kuna mdau kauliza hilo jengo liko wapi, sio mtaalamu sana wa mitaa lakini nikikutajia majirani unaweza kupata idea, nyuma ya wizara ya fedha, au nyuma ya hostel za ifm au nyuma kilimanjaro hotel, kempenski utaona hayo maEPA tower.

    ReplyDelete
  11. Why are we always negative kuhusu BoT?

    Marafiki zangu ambao BoT wanakosa amani kwa ajili ya maneno ya hapa na pale kana kwamba wao wanafaidi saana.

    Poleni sana washikaji, ipo siku mtarudi kwenye form.

    ReplyDelete
  12. Jamani lakini hii fitna itaisha lini.....EPA imekuwa nongwa kwa chochote kinachohusu BOT......eti na ile barabara mpya kule mbezi beach kwa vile imepita mbele ya bot flats basi imebandikwa jina la EPA Rd,.......nyie mnaoendekeza hizi fitna jaribuni kuwa wastaarabu.....kha!

    ReplyDelete
  13. labda BBQ?

    ReplyDelete
  14. HUO NI USHAHIDI UNACHOMWA NA HIVI BONGO FILING NI YA MAKARATASI HAKUNA HATA SCANNING FACILITIES SEHEMU NYIGI NA NYETI ! MTANIAMBIA MIMI KESI IKIANZA TUTAAMBIWA USHAHIDI HAUONEKANI !!

    ReplyDelete
  15. Ni kweli kabisa huo moshi unakuwa mara kwa mara, takriban kila mwezi. Na mbaya zaidi wakati wanachoma moshi wooote unakimbilia Kilimanjaro Hotel, kwahiyo kwa kiasi kikubwa unawanyima raha wageni waliofikia pale, ukizingatia asilimia kubwa ya wanaolala pale ni wageni kutoka nje. Mimi ningeshauri kama wanataka kuteketeza hizo pesa chakavu ni bora wakaenda WAZO HILL, pale wanatoa huduma hiyo kwa ufanisi, au waende dampo la vingunguti na wazichome chini ya ulinzi mkali, otherwise wakiendelea kuchomea hapa city center, watatuletea Saratani za makoo tuu. Ni haayo tuu.

    ReplyDelete
  16. Jamani! Jamani! mbona mnawaandama wenzenu?

    ReplyDelete
  17. katika woooooooooote, mmoja tu ndio kaweza kueleza nini kinatokea hapo. When you come accross to anything in life try to analyse before giving out any comment, inaweza kusababisha ukaonekana wewe ni ignorant while u r educated. Ni hayo tu.

    ReplyDelete
  18. hahahahaaaaaaaa,,,kwikwi kwiii
    duh!!hii mwisho,,tanuru ya kuchomea zagazaga lipo juu ya jengo la BOT??
    yan kuamini inatia walakini!!!mmmmmmmmmmmmmmmh!!

    ReplyDelete
  19. Siku hizi kuna shredder za pande nne. Bi yake poa tu. kwa hiyo hakuna haja ya kuharibu hewa na kuchafua mazingira. Confete ya noto ni biodegreadable - yaandi naweza kuozeshwa kwa bacteria wakawaida tu.

    ReplyDelete
  20. Na wewe anon wa 5:00pm hapo juu sogea mbele huko. Nani kakwambia humu kwa kaka Misupu watu tunakuja kuanalyse vitu kiundani na kuwa serious? Tuache na comment zetu za ignorance na wewe na elimu yako fungua blogu uone kama tutakutembelea na dharau zako. Kwanza na hiyo so called education yako ku-spell "across" tu kunakushinda ? Si hayo tuu nina mengi ya kukwambia .......Sijui nikwambie ? mmh anyway wacha nikusamehe kalaga baho !!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...