BIG TIME PROMOTIONS INAWALETEA MAMBO YA KUENDELEZA LIBENEKE LA BONGO FLAVA UGHAIBUNI, MSANII WA BONGO FLAVA'' MATONYA'' ANATARAJIA KUWAPAGAISHA WADAU WA MJINI OSLO NORWAY, KTK MAMBO YA KUSHEREHEKEA OBAMA NA KUKANDAMIZA BONGO FLAVA.
WADAU WA BERLIN,HOLLAND NA FRANKFURT NAO WAKAE MKAO WA KULA KWANI NAKO HUKO MOTO UTAWAKIA KUTOKANA NA RATIBA YAO.
CONTACT
HASSAN NGANZO +4747262181
FRED MAKOSIR +4795178106

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. nyie wabongo wa huko ughaibuni hamna kazi nyingine zaidi ya starehe tu,eti mnataka kumsherekea OBAMA,kama huyo OBAMA angekua na akili kama zenu asingefika hapo alipo.MDAU

    ReplyDelete
  2. HELLO BRO MICHU NASIKITIKA KUTANGAZA KUWA MATONYA AMEDUNDISHWA SCHIPHOL AIRPORT HOLLAND NAHIVI SASA NINAVYOKUMBIA AMESHATUA KWA BI MKUMBWA (MINAZI MIREFU) SASA HUKO OSLO SIJUI ITAKUWAJE

    ReplyDelete
  3. Jamani mbona wabongo hatupendani hapo jamaa anaenda kufanya kazi lakini mnachonga mnadai anaendekeza starehe, kazi yake ni muziki ambao upo kwa ajili ya kustarehesha watu na yeye ni mstareheshaji tu acheni hayo mambo bana, sio fresh kama huyu anaedai jamaa amedundishwa airport kulikuwa na haja kweli ya kumuanika jamaa kwenye blog ya jamii? Haipendezi hata kidogo, sisi kama watanzania tunaoishi kwa amani hatuna budi kuwaombea wenzetu pale wanapokuwa wanafanya jambo ambalo liitawongezea kipato badala ya kuwaponda. Asanteni

    ReplyDelete
  4. Jamani! Huyo Matonya mbona tunasikia kashikiliwa Amsterdam? Aliombwa kuonyesha show money, alikua na euro 200 mfukoni. Akaulizwa waenda fanya nini huko, akadai ye ni Matonya super star wa bongo aja fanya show ulaya. Barua kuonyesha, kaalikwa kutembea. Naona promota alikua anakwepa tax, angemwambia bac mshikaji jinsi ya kujieleza likitokea la kutokea. Lol! Bro Misupu tafadhali tusaidie kufuatilia habari za huyu bwana. PROMOTA KAM BEEP MATONYA WETU!

    ReplyDelete
  5. I don't understand you people. You seem to have nothing but negative thoughts in all you comment here. Matonya was in Europe, he had a proper concert in Oslo and ravellers appreciated him so much that they want him back. Matonya, keep the spirit, show them you are still the best entertainer.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...