Kaka Michuzi, Mr. Ambassador, Mkuu wa Wilaya ya Nanihii….
Napenda kuomba msaada tutani kuhusu blog yangu. Mimi ni MAKULILO Jr, blog yangu
nimeifanyia mabadiliko makubwa mno (SHUKRANI kwa Dada Subi, blogger www.nukta77.blogspot.com
kwa 95% ya kuibadilisha blog hii, na kuiboresha zaidi).
Napenda kuwaalika wadau wapate mambo mapya, mengi na muhimu kuhusu SCHOLARSHIPS, VOLUNTEERING, FREE TRAINING, INTERNSHIPS, FELLOWSHIPS, INTERNATIONAL JOBS etc. Pia website yangu www.makulilo.com ipo njiani kuja, wadau kaeni mkao wa kupokea michakato mingi mno naya uhakika.
MDAU MAKULILO Jr,
makulilo.blogspot.com
E-Mails:
Cell phone +1 304 633 0978

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Balozi Mithupu!
    Kwa niaba ya wadau wa blog ya jamii naomba ufafanuzi toka kwako. Kwenye mtandao wa ZEUTAMU umeshutumiwa kwamba wewe ni mmoja kati ya wamiliki wa mtando huo, unahusika kupiga picha watu na kuzituma, eric shigongo huwatungia maneno watu hao, kibaya zaidi kuna tuhuma zingine zinakuwa za kutunga..kwa mfano issue ya shy rose banji na wengineo.
    Balozi Mithupu na Shigongo ni watu mnaoheshimika sana na ninatumia utatumia fulsa hii kutoa ufafanuzi.
    Naomba kuwakilisha.

    Mwanahakati...LA

    ReplyDelete
  2. Asante kwa kutukaribisha huko lakini wanasema chema chajiuza kibaya cha jitembeza . nakumbuka ulishaweka tena tangazo lako humu humu au kwenye blog nyingine nilipitiaga lakini .....sikumbuki kama nilishawahi kurudi huko tena.

    Anyway asante na kama kuna mapya mengine tutakuja tu. Tunajua sana uzuri wa blog ni pale unapopata watu wakusoma....ila kuna blog fulani sitaki kuitaja hapa inaendesha blog yake kiubabe ubabe. Nimeiondoa hata kwenye bookmark yangu na najua soon itakosa watu wakusoma tu.

    Igeni mfano wa Michuzi....he is very down to earth though I never met him in person ila hamna siku inapita bila kusoma blog hii na sio kuwa nafuata udaku huku ila kuna varieties.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...