nyanya yake barak obama (pichani kulia) amefariki siku moja kabla ya uchaguzi mkuu wa marekani ambapo mjukuu wake anagombea leo. habari kamili nenda link ya BBC kwa kubofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. KAROGWA!!! UCHAWI UPO EVERYWHEAA

    NUMBA 1 POSTA

    ReplyDelete
  2. Barack Obama emerged victorious in the first election returns of the 2008 presidential race, winning 15 of 21 votes cast in Dixville Notch, New Hampshire.

    ReplyDelete
  3. Huyu Nyanya ndie alimtunza Obama baada ya Mama yake kufariki mapema.
    Ingekuwa vizuri kama angeishi muda mrefu kido aone matunda yake. Hata hivyo kufa siku moja kabla ya mjukuu wake avunje histori ya nchi ya Marikani amabayo ina historia ya ubaguzi wa rangi mpaka leo, naona huyu Bibi alishapata salamu kwa Mwenyezi Mungu kuwa kazi yake imekwisha hapa duniani na mjukuu wake atakuwa Raisi wa Marikani. Matokeo bado, lakini dalili zote zinaonyesha Obama atashinda uchaguzi. Chaguo ni rahisi kati ya siasa za McCain amabazo ni sawa na za akina Bush na Cheney. Kuendeleza vita na kuchokoza nchi nyingine ambazo hata hazina ugomvi na Marikani, siasa ambazo zimewaletea Marikani maadui wengi, kupoteza heshima na kukushafiwa hata na marafiki wao wa zamani kama Ufaranza na Ujerumani. Obama ataponesha vidonda vya Marikani na Dunia nzima, kwa kuleta Amani na kuimarisha Uchumi. Tumuombee Mungu afanikiwe na Uongozi wake na aepuke maadui ambao tayari wanapanga uhasama wa maisha yake.
    Sam - ATL _USA

    ReplyDelete
  4. Sam, Check the facts before you write incorrect information on this jamii globu. Obama's Grandma helped raise Obama when his mom was still alive and living in Indonesia. Obama's mon dies in 1995, by then Obama was a grownup 34 years old man.

    ReplyDelete
  5. naungana na anon wa 1.. AMETOLEWA SADAKA

    NUMBA 1 POSTA

    ReplyDelete
  6. Kaka Trio you are right, my mistake.
    Meant to say that Nyanya played a major role in raising Obama. Samahani wote.
    However, Kaka Trio is that the only thing you saw worthwhile responding responding to, do you have any opinion on this matter?
    Sam

    ReplyDelete
  7. Hebu acheni kuchanganya madawa hapa

    Aliyefariki ni BIBI yake Obama, sio nyanya yake,... mama yake bibi ndio NYANYA...JIFUNZENI KISWAHILI

    ReplyDelete
  8. Mungu ampumzishe pema Nyanya Obama, amina.
    Ingekuwa bongo watu wangedai kamati ya ufundi.

    ReplyDelete
  9. Hata mimi I was so sad with the news. I wish angefariki on Wednesday lakini mipango ya Mungu.

    Hata mimi nakubali...it is like jesus alivyosema imekwisha...kazi yake ya kuwaweka watu wamkubali mtu ambaye ni point five ilikua sio ndogo...

    Obama hata asipowin leo ila ni ushindi kwa nchi manake turn out ya watu ni kuwa haijawahi kutokea kwa miaka 100. Akishindwa kwa point bado ni ushindi mkubwa kwa vile republican kuiba kura si ajabu na red neck people are still here. Hizo atakazopata ni ushindi mkubwa don't forget that ....apart from being black he has a weird name too.. Ila hamna mtu aliyechangisha hela kama yeye ni history....so that is a huge accomplishment....

    He is still young hata McCain kwenye NSL alisema jamani Obama wewe bado mdogo you still have time ....you can do it over and over and over again.......I wish him lucky though I feel for McCain.....kama angekua hagombei na Obama na sio republican kweli ningevote kwa Mccain.....too bad

    ReplyDelete
  10. Nyanya au bilinganya,nani anajali!

    ReplyDelete
  11. wadau tuhabarishane,,,uyo kidume cha kizungu pembeni ni nani???
    afu weusi bwaaana the teh nachoka sana,,,ivi mwavomshabikia obama na kubishana km vile atawainua "kiuchumi vile" au atawatafuta,,,REMEMBER THT IS USA & he is US citizen+president now hahahahahaaa
    michu umezitoa zile "herufi za kuingilia bloguni??"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...