Mai hazbendi wa Malkia wa Denmark Prince Consort Henrick akipokea maelezo kutoka kwa Mkurugenzi mkuu wa Bohari ya madawa Tanzania (msd) Bw. Joseph Mgaya alipoitembelea bohari hiyo leo jijini Dar. Chini akiondoka bohari hapo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hiyo sio suit ya Oscar hiyo?oooops nimesahau kuwa joe ana afford suit siku hizi.great job cuz.una represent wapare.

    ReplyDelete
  2. michuzi huo uchepe mwengine utakuweka pabaya inabidi huyo mume wa malkia kawa mumeo sasa!!!???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...