Home
Unlabelled
zain yatunukiwa cheti cha ulipaji kodi mzuri
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hello DC,
ReplyDeleteKwenye maelezo hapo juu baada ya jina la /kiti wa bodi ya TRA umeweka R kwenye mabano. Hiyo R ina maana gani?
Just curious!
kaka ni ZAINA au ZAIN?tafadhali waombe radhi wadhamini wako
ReplyDeleteMh. Balozi,
ReplyDeleteZain wamelipa kiasi gani na kwa kipindi gani? Mlipa kodi mkubwa zaidi ni yupi?
Pili, Mh. Balozi, serikali yetu ina hisa Zain kama ilivyokuwa kwa celtel? Na imefaidika vipi na 'uuzwaji' wa celtel kuwa zain?
Kuna ka mchezo ambako makampuni ya kigeni hucheza, kanaitwa 'badili uchume.' Sikafafanui sana ila sijui kama kuna athari hasi ambazo serikali imepata hasa kimapato kutokana na uuzwaji wa celtel > zain, tukizingatia misamaha ya uwekezaji hasa kwa makampuni ya kigeni.
Tatu na mwisho Mh. Balozi, Bongo inasuasua sana katika suala la internet. Si 'next-to-zero' lakini spidi ziko chini sana, na bei ziko juu mno!!! Jamani hii ni changamoto na fursa kwa wajasiriamali na mabepari pia.
Voda wanajaribu lakini gharama ziko juu mno. Zantel nafuu kiduchu lakini spidi iko chini na hawapatikani 'pahala popote' kama wanavyodai.
HIYO NI POLITICS, MLIPA KODI MZURI MAANA YAKE NINI? NI WAJIBU WAKE KULIPA KODI KWA MUJIBU WA SHERIA ZA TANZANIA, HIVYO HAMNA HAPO CHA MLIPA KODI MZURI, NA WAFANYAKAZI WANAOKWATWA DIRECT KUTOKA KWENYE MISHAHARA YAO WAO SI WALIPA KODI WAZURI? PENGINE NINGEELEWA KAWA UNGESEMA MLIPA KODI MKUBWA KWA KIWANGO KIKUBWA CHA PESA, LAKINI SI MLIPA KODI MZURI, NA HAMNA SABABU YA KUPOTEZA PESA YA UMMA KUTENGENEZA CHETI KUMPA MTU ETI MLIPA KODI MZURI WAKATI NI WAJIBU WAKE KISHERIA, EBU ACHENI HIZO ZA SIASA NDANI YA MASLAHI YA UMMA, NI OBLIGATION YAKE KULIPA KODI.
ReplyDeleteI wonder kuna walipa kodi wazuri na wabaya. Nilizania kulipa kodi ni wajibu wao na wa kila mtu.
ReplyDeleteAhaaa Tanzania yetu imekosa kazi kutengeneza vyeti vya walipa kodi bora na wasiolipa wanafanywaje....wanapewa fine au wananyimwa tu vyeti
Sevedo, welcome to the real world, Celtel haikuuzwa kwa Zain, imebadili jina but uongozi ni ule ule uliokuwa unamiliki Celtel, mbona hamuelewi ilhali hata bungeni ilielezwa? kha
ReplyDeleteMIMI TANGU NIAJIRIWE ZAIDI YA MIAKA ISHIRINI NA TANO SIJAWAHI KUKWEPA KODI HATA SIKU MOJA, HATA MEAL ALLOWANCE YAANI CHAKULA NINACHOKULA NINAKILIPIA KODI LICHA YA KUWA NIMEKINUNUA LAKINI TRA INANIONA SI MLIPAKODI MZURI! KISA, NI MWEUSI WA USWAZI. HAWA WANAOSAMEHEWA KODI NDIYO TUNAOAMBIWA WALIPAKODI WAZURI ILI TUSIHOJI MISAMAHA WANAYOPEWA.
ReplyDelete