Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 32 mpaka sasa

  1. UTAMU WA DAR NI NINI! UCHAFU ULIOKITHIRI? MAKOHOZI NA MIKOJO ILIYOKITHIRI KWENYE VITUO VYA MABASI NA KUTA ZA MAGHOROFA YA KARIAKOO?

    ReplyDelete
  2. Wee anony wa kwanza hujakomaa katika kuchangia mijadara ukitaka kujaji mambo kama ulivyofanya maana yake hapa duniani hakuna sehemu Tamu, kwasababu hata Ukerewe kuna sehemu chafu hivyo huwezi ukasema ukelewe siyo kutamu. Umeniuzi nikiwa kama mmoja wa viongozi wa jiji ambaye nahusika sana katika eneo hilo

    ReplyDelete
  3. Nyie hamjui utamu wa Dar ? utamu wake ni Home hakuna kubaguliwa huulizwi pasport utamu wa Dar uhuru au vp

    ReplyDelete
  4. Du bongo watu wananuka vikwapa kufa wengi hawatumii underarm shield manake ktk daladala mtu akinyanyua kwapa du noma ina bidi itolewe elimu ya usafi wa mwili au vp wadau kuna yeyote aliekutana na vikwapa hivo? au sijui pua yangu ndo inanuka nateseka sana nikienda Bongo

    ReplyDelete
  5. Mdau juu, inabidi usirudi. unakaa ulaya bado unatimiya daladala?

    Nikirudi nafikia Kempisky mwezi mzima halafu mademu kwa wingi sana. Dola ni hatari sana, yaani hata akina Dr. Dre hawaingii katika maraha yangu. Nasikia sana harufu ya makwapa, lakini ni ya Perfume ya bei mbaya, napenda sana vekesheni yangu bongo, yaani sikosi kila mwaka hata kama wakinitoza dola 100 ya viza nitakuja tuu, mademu home watamu sana.

    ReplyDelete
  6. Home Sweet Home. Kwenu hata kama kukiwa ni kwenye shimo ni kwenu tu. Hata kama watu wananuka vikwapa ni sawa tu. Sababu ya wengine wetu kuwa nje ya nchi ni katika kujaribu kutafuta maisha, Lakini Mama Tanzania tunakupenda kwa moyo wote and unconditionally.
    Huku Ulaya saa nyingine ni kugumu. Social life ni ngumu na pia mara nyingi ubaguzi toka kwa wenyeji you just feel hauko kwenu.

    ReplyDelete
  7. we mdau wa kwanza kuna nchi kibao tu chafu kama hivyo.huko marekani kwenyewe tu mikojo imejaa mitaani kutoka kwa homeless sio mnaanza kudharau nchi yenu baada kuwa nchi za nje.nyumbani ni nyumbani tu.
    we mdau wa january 16 3:55 pm usitake kuleta zako kuhusu vikwapa watu wana shida ndio maana sio kwamba hawapendi.mtu hela ya chakula hana ndio itakuwa hela ya kununulia deodorant? tumieni akili mnavyokuwa mnakosoa vitu ,tumia mda wako kufikiria zaidi huwe unajiuliza kwanini kitu kama hiki kinaweza kutokea sio kukurupuka tu.
    TANZANIA TUTAFIKA TU HAWA VIONGOZI WENYE TAMAA WATAPITA.HAKUNA LENYE MWANZO LIKAKOSA MWISHO.
    muheshimiwa michuzi mbona ghorofa hilo limepinda au siku zake za kuanguka liko njiani? he he he he.

    ReplyDelete
  8. mimi naona vumbi tu kwenye hizo side walk,sasa sijui kuna utamu gani hapo?michuzi kama vile ujafika ulaya bwana!

    ReplyDelete
  9. Mhn wewe kiongozi wa jiji mbona unakuwa na "Jaziba" jamani...!!!. Ni kweli Dar ni nzuri,tuko huku ughaibuni lakini twaitamani,sio kwa ajili ya miundombinu wala usafi wa huyo kiongozi wa jiji,Lakini ni kwa ajili ya "Uhuru" ,Amani iliyokubuu,Pesa ya bure bure bila kuitolea jasho kama huku ughaibuni,kila sent lazima jasho likutoke tu..!! Upendo....!!.
    Mdau,
    Ughaibuni.

    ReplyDelete
  10. Duh, kama kiongozi wa jiji anayehusika na maswala haya anon wa Tarehe January 16, 2009 3:54 PM, hajui kuandika lugha yake ya Taifa, unadhani jiji litaendeleaje, wakati kusoma na kuandika tu HAJUI, (mijadara, ukelewe,kujaji,umeniuzi nk) jamani kuweni makini na mambo yenu ya kila siku, kama hujali kurekebisha makosa ya kuandika au kuongea utawezaje kurekebisha makosa yanayodhuru maisha yako..????

    ReplyDelete
  11. Unateseka sana ukienda bongo wewe umezaliwa wapi kama si uwanja wa fisi au tandale mjinga sana wewe umeenda nchi za watu unajiona bora sana eti vikwapa kwenye daladala si utumie ur private car ukifika dar ili usikumbane na hivyo vikwapa ni nini kinakupeleka kwenye daladala kama na wewe si mchovu tuu watu wengine bwana ulimbukeni tuu, kazi tuu kuloea kwenye nchi za watu na kubeba mabox kama crazy. Home sweet home.

    ReplyDelete
  12. Ni kweli watu wengi hawatumii Deodorant huko Bongo. Nimesikia wakina mama wakilalamika kuwa wanawashugulikia huko saluni wana vikwapa!

    Mnasema Dar kuzuri, lakini kuna maji?

    ReplyDelete
  13. we mbongo ambae unaona watu wanan uka vikwapa upo wapi ambapo watu hawanuki vikwapa? nadhani ni mshamba na bado upo bongo unaimani kwamba ulaya watu hawana vikwapa na hakunuki, unazani wazungu hawanuki vikwapa? uliza watu wa huko wakupe habari yake

    ReplyDelete
  14. Mnafurahisha kweli!

    Utoto mtupu, kama vitoto vya chekechea!

    ReplyDelete
  15. Utamu uko wapi hapo ? Au kununua Petrol kwenye chupa za maji ndiyo utamu wenyewe ? Waiting for the ticking bomb to explode !!

    ReplyDelete
  16. hahahahah! naona wabeba mabox mmekasirika! hahaha! msikonde tunataka kuanzisha kitengo chakubeba mabox bongo nadhani mtarudi! hahahahahah!

    kwani mlilazimishwa kwenda huko?
    msituone wivu!

    Bongo Tambarrrrrrrrrrrrraaaaaaaareeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  17. Duh, mbona hali hii inasikitisha. Wadau wanaonyeshwa picha inayopendeza na wengine wanatafakari kuhusu makohozi na mikwapa isiyokuwa kwenye picha...

    Hongera Mkuu wa Wilaya ya nanihii kwa picha nzuri. Na nimesikia kwamba kesho kutakuwa na zoezi kabambe la kufanya usafi kwenye Waterfront nzima kuanzia maeneo hayo ya picha yako...

    ReplyDelete
  18. ama kweli maskini akipata.... kwenda nje ya nchi na kujua kutumia vi-deodorant leo hii mtu anasema Dar kunanuka Dar kunanuka? mbona watu wengi wasafi tu, na chi za wenzetu wengi wachafu kupindukia (Dar joto linaweza kuchangia kidogo as compared to other developed countries), lakin si kiasi cha kunuka) kumbe Michael Jackson ana wenzake wengi

    ReplyDelete
  19. huyo wa mwisho mjibu
    Nyamizi makoye: wewe umejua kutumia izo underarm shield baada ya kufika huko majuu kabla ya hapo pengine ulikuwa unatoa harufu kuliko hata ya hao. Mshukuru
    Nyamizi makoye: Mungu kwa kuwa una pesa za kununua hizo underarm shield, wenzio wanafukuzana na pesa kwa ajili ya mlo mmoja kwa siku wao na familia zao

    ReplyDelete
  20. dah wabongo nimewakubali..mimi nipo nje ya nchi lakini bado dar naikubali..kama unaona watu wananuka vikwapa nunua gari weka ac au umekatazwa??
    ni mimi mzalend aliepo nje ya nchi

    ReplyDelete
  21. Inaonyesha huyo anayosema bongo inanuka vikwapa ana tatizo sugu la kikwapa na inaonekana alivyofika huko aliko amepata deodorant nzuri. Huu ni ushamba ndugu yangu, vikwapa vipo kila sehemu tena huko ngozi zao zinanuka kama ngozi ya kitimoto... si harufu hiyo kama hawakutumia deodorant

    ReplyDelete
  22. du umenikela ww kikwapakunukia du huko ulikozaliwa ndo wakutukana walai mtume tusikujue na ww endeleakupaka na kunusa makwapa yasionuka.but home ni home.mm niko nje but i wish hata kesho niludi kupunguza shida za mi nchi ya watu kumbe ww unangangania nakumsahau bibi hahahahahahahahahahah

    ReplyDelete
  23. Amini msiamini hakuna dawa nzuri ya kuondoa kikwapa kama ndimu. unajisugulia kwenye kikwapa mara mbili kwa siku harufu ya kikwapa inaondoka moja kwa moja. pure no chemicals,no alergy ni nzuri kuliko deodorant

    ReplyDelete
  24. Wewe Anon wa kwanza uliyeanza kwa kuiponda Bongo mimi nakuona ni "MPUMBAVUNAZI MKUNWA NA MBUZI" na wewe anon mwingine uliyeyeleta habari za kwamba watu bongo wanunuka vikwapwa,na wewe pia ni "MPUMBAVUNAZI MKUNWA NA MBUZI".Kwa taarifa yenu mimi nipo UK hapa tangu mwakajana,naishi kwenye student accomodation ambayo mweusi ni pekeyangu na dada mmoja wa ki-Eritre,wallah sijaona watu wachafu na wananuka kama hawa jamaa.Ukiachilia mbali vikwapa,sijui wana nini,nafikiri ni ngozi zao zinatoa harufu.Kama ni ku-spit ndo usiseme,wanatema makohozi kishenzi,yaani ni wachafu sana.Kwa mzawa kama mimi naona taabu sana na natamani hata leo hii niondoke niendezangu "brake-point" nikale ugali wa muhogo,nyama ya nyati na serengeti zangu saafi.
    Narudi tena kwenu nyie "WAPUMBAVUNAZI WAKUNWANAMBUZI" wawili.Unajua tatizo la nyie mnaondoka Bongo kwa nauli za kuchangisha nyumba hadi nyumba kwa kufikiri mkija huku ndo mmemaliza mnakuaga na huo utumwa na upunguani wa akili.Huko Bongo nduguzenu halizao ni mbaya big time,mnapiga picha mmevaa vi-tishirt vyenu vya PRIMARK kuwaonyesha kwamba huku mnaishi vizuri kumbe hamna lolote.Kwa kifupi mnaishi huku kama mbwa asiye na kwao na anayetangatanga majalalani kutafuta chakula,halafu still mnathubutu kubwabwaja huo upumbavu wenu,Punguwani kabisa nyie.Mbona kuna watu wengi tu hapo wanaishi huku na wameandika kwa busara zote kasoro nyie wapumbavu wawili.
    Kama wewe mdau mwingine unaonekana "CHOKAMBAYA" tu kama sisi wadau wengine wa kawaida ambao kila kukicha tunapanda madaladala,kama wewe mambo yako saaafi na unasema sisi wazalendo tunanuka vikwapa kwa nini usichukue tax????Ngoja niwaweke akiba maana naandika huku natetemeka kwa jazba.
    Waungwana wengine mtaniwia radhi kama nimepotoka,hii ni kwa ajili ya hao WATUMWA wawili kama nilivyoeleza hapo mwanzo.

    Wasalaam,
    MZALENDO.

    ReplyDelete
  25. we anony wa 4:13 mshamba sana ndo nyie mnaishi mamtoni kama mambwa kubeba mabox kisha mkirudi kwenu mnajifanya ma celebrity hiyo ni hasara kubwa na upumbavu na kukosa akili eti kempinsky!kama una pesa kwanini usiwe na nyumba yako!
    Na huyo alie posti hii pic pia mshamba hivi amesahau shida ya maji na shida ya umeme! au anaficha mabaya ya mafisadi!!those are the things that need to be address sio kula ugali na maharage mkipita katika majumba ya mshirika ya umma mnajifanya Bongo raha! ovyoooooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  26. Najaribu kuvuta taswira ya Anon wa kwanza naiweka kama challenge kwangu, mimi kama namuelewa kidogo, napokea kama fundisho la kunikumbusha madhaifu yangu kwa aliyoyasema ni kweli tunatakiwa tubadilike hasa kwa kutunza mazingira yetu mazuri ambayo kila siku tunaishi hapo, tabia alizoziwakilisha hapa kweli zipo na zinaharibu mandhari au mazingira ya sehemu nyingi huru tunazokuwa nazo na tunazozitumia kwa kila siku , watu hatuna soni na ustaarabu utakuta mtaani baba mzima au mama mzima katoa vyombo vyake anaharibu mazingira eti hakuna choo cha jumuia, pia ketema tema haijatulia na wengi hufanya hivyo barabarani hasa asubuhi ukipita inabidi uwe na hadhari na unapokanyaga au wale dada zetu wanaovaa nguo mpaka chini si ajabu ukaburura hayo mate, na kutoa harufu ya kikwapa pia ni kupambana nayo tu,hasa kwa wale wanaoweza, sio kutetea na kukataa, mazuri tuige mabaya tuyaache.

    Mimi hayakunisumbua sana haya maongezi ya kila mmoja kwani najifunza vitu vingi kutokana na malumbano ya hapa jamvini nakiri kuwa kweli tunafundishana na kurekebishana.

    ReplyDelete
  27. Nyie "WAPUMBAVUNAZI WAKUNWA NA MBUZI" wawili endeleeni kuzoa mavi kwenye hizo day care jobs zenu halafu mje Bongo na vi-pound au di-dollar vyenu uchwara muone kama watu wanashtuka.
    Sana sana mtakaowababaisha ni wale wanaopenda ofa ofa.Na hivi sasahivi mnavyofukuzwa kazi kila kukicha kwa sababu ya credit cruch,mnaishi kwa taabu saana lakini bado mnathubutu kuropoka hou ujinga.USHAMBA HUO.
    Kwa kifupi nina hasira sana na wajingawajinga kama nyie.

    ReplyDelete
  28. dar saaaaaaaaaaaaaaafi
    ila mushrooms za magorofa mjini ndo kero,tupanuke tujenge nje ya mji wajamen khaaaa!!!ofkoz nje tumekaa saaaana tu na xposure za mara kwa mara nje ya nchi ni kama kawa bt there s no place excellent like home wal'hahi!!
    yan me niko mkoa bt dar my home place ila ths time nimeenda duh joto kupindukia no hewa,kisa migorofa kila mtu akimbilia jenga kariakoo na posta,,,jamen lets build out.
    nyie annons mlotukana bongo ndo nyie mnaojilipua,mnajiuza kwa kulala na wanyama for some dollars to earn living,mayaya,piga box la aibu aswaa msomi mzima aishia osha vyombo motel,anyway unaishi bt kwa shiiida ivo?nyooooooooo
    bt HOME SWEET HOME,

    ReplyDelete
  29. Kabla hujasema Dar tambarare, nenda Moshina Arusha uone jinsi wakazi wa huko, hata mama ntilie wanavyojua maana ya usafi, sio Dar hata Samora Avenue unakuta chupa za maji na maganda ya ndizi yametupwa. TOO MUCH uswahili bwana hapa

    ReplyDelete
  30. Anonym. wa 16 January, 4.00 PM hujakomaa kimawazo. Kama huna kazi ya kufanya ni vema kajisaidie haja ndogo ukalale. Leo nimekumezea, ila siku nyingine nitakuchambura kama karanga. "Xschwiiiiiiiiiiiiii!!!



    Mpiga Box

    ReplyDelete
  31. sio VIKWAPA PEKE YAKE JAMANI NA MDOMO NA SOKSI NA NYUMA YA MASIKIO YAO NAKO PIA KUNATEMA

    ReplyDelete
  32. Jamani home sweet home.

    Ila kuna mtu menichekesha kuwa ukiishi nje ya nchi hamna la zaidi kwa vile kila siku unaulizwa passiport. Sasa kama unayo tatiso lake ni nini? Ina maana bongo illegally people wanawalk freely tuu.

    Kila nchi mtu unatakiwa uheshimu sheria zao.

    Ila tuwape hongera panapostahili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...