Rais Jakaya Kikwete akiaangalia mbolea ya TSP katika kiwanda cha mbolea cha Minjingu wakati alipotembelea kiwanda hicho, juzi. Kushoto ni Waziri wa Kilimo na Chakula, Steven Wasira pamoja na Mkurugenzi wa kiwanda hicho, Tosky Hans

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Eti Rais peke yake ndio kavaa lab coat!

    Bongo bana!

    ReplyDelete
  2. Samahani Wadau, haikuwa nia yetu kumnyima Minister Wassira koti ila Minister Wassira saizi yake ya koti ilikosekana kiwandani.

    By Factory Manager

    ReplyDelete
  3. Hata mimi nimeshaanga kuona ni yeye Mh.Raisi pekee yake aliyevaa lab coat hii inaonyesha jinsi gani Minjingu wasivyojali afya za wafanyakazi haya na Mkurugenzi je pia hana saizi au ndio katua tuu.
    Be serious hata waliongozana na msafara hawana lab coat

    ReplyDelete
  4. Du mzee wassira ni mweusi kiasi kwamba anareflect kwenye koti la kikwete! Ni kama hasi na chanya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...