Mgombea ubunge Mbeya vijinini kupitia tiketi ya chama cha Civic United Front (CUF) Mh. David Mponzi akinadi sera za chama chake kwenye mkutano wa kampeni huko Mbalizi wikiendi hii. Picha na Mdau Jiang Alipo

wazee vipi Ippmedia mbona news siku hizi hawafunguki internet. au ndo ..mzee...na mkwara wa ...
ReplyDeleteWagombea wengine bana.. sasa we mgombea wa CUF halafu unavaa nguo ya kijani kijani...
ReplyDeleteKaazi kweli kweli
mambo ya kuwaiga Chadema hamna jipya hapo Lipumba na Seif ni viongozi wa CUF milele
ReplyDeletemgombea wetu kafanana na obama huyo utadhani mapacha vile
ReplyDeleteTatizo sera zetu nchini ni kupinga upinzani, sijui lini na sisi tutaamuka na kuelewa nini maana ya upinzani. Tujaribu na sisi ili tuanza kuzoea mabadiliko,
ReplyDeleteSijui tunataka mpaka mzungu aje atufundishe hili.
M3