Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Du huyu jamaa kiboko kweli, sijui hiyo ndege ni Type gani au ndiyo "FISADI 737", maana matairi yake kama "KIBAJAJI" vile. Nijuavyo mimi dege kama hilo tairi za nyuma hukaa kwenye "MBAWA", sasa hapa kachukua Technology ya Bajaj kaiwekea mbawa ikawa ndege. Ila simlaumu kila kitu na uzoefu kama wewe mpanda Bajaj mawazo yako yatakuwa kwenye bajaj n.k.

    ReplyDelete
  2. haikuwa na maana hio WEE mkunwa na roho,hio waingereza wanaiita "MESSAGE SENT"kwa walengwa kama sisi na wao na nyie pamoja na wenzio na wewe hapo.NB: NA NDIO MAANA IKAITWA cartoon ulitaka aipake na rangi ?????mchoreee na rubani kabisa katoa kichwa kwa dirishani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...