Meneja wa Huduma za Jamii wa Zain Tanzania, Tunu Kavishe akitoa maelekezo ya jinsi ya kushiriki mashindano ya kitaaluma ya Zain Africa Challenge kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kumi Dar es Salaam jana. Vyuo vinne vya Mzumbe, Hurbert Kairuki, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi za Tiba Muhimbili na Chuo Kikuu cha St. Augustine vimefuzu kuiwakilisha Tanzania katika fainali za kimataifa zitakazofanyika Kampala, Uganda mwezi ujao.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Hurbert Kairuki wakishangilia Dar es Salaam jana baada ya timu yao kufuzu fainali ya kimataifa ya mashindano ya kitaaluma ya Zain Africa Challenge ya vyuo vikuu zitakazofanyika Kampala, Uganda mwezi ujao. Vyuo vinne vya Mzumbe, Hurbert Kairuki, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi za Tiba Muhimbili na Chuo Kikuu cha St. Augustine vimefuzu kuiwakilisha Tanzania katika fainali hizo.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. naona mama zain huyoooo anakuja.

    ReplyDelete
  2. Huyo dada ni meneja wa Zain au ni rapper? Naona mapozi ya kufokafoka!!

    ReplyDelete
  3. ALAFU MKAFANYE MADUDU MNANIBOAGA KISHENZI WAKENYA WANAWAKIMBIZAAA UTAFIKIRI MAZUZU VILE NAONA TUNU NDOA IMEJIBU HONGERA

    ReplyDelete
  4. January 16, 2009 1:56 PM
    Mambo mengine hayakuhusu

    ReplyDelete
  5. Jamani waha vyuo vikuu wanaaibisha sana sana sijui this time itakuwaje

    ReplyDelete
  6. Duhhh naona nishamkosa huyo meneja wa Zain, nilikuwa najiweka sawa kutuma application...

    ReplyDelete
  7. jamani Tunu msahau kaka yangu mpendwa, ni mke wa mtu. Halafu kumpata pia sio rahisi nikwambie, wengi tulihangaika kabla hajaolewa ila mhhh....kwao mambo safi kishenzi tukalishindwa dau.

    ReplyDelete
  8. yaani huyu dada simjui lakini simpendi sijui kwa nini ananikera kila nimwonapo?

    ReplyDelete
  9. we anonymous wa hapo juu ni wivu tu unakusumbua na ulimbukeni sasa humpendi dada wa watu kakufanya nini hata ujibu nini ni wivu watu kama nyie hamtakaa muendelee angalia yanayokuhusu dada wa watu mrembo msomi ana kazi yake uzuri hata akukere umchukie haisaidii maana yeye maisha yanamuendea...wabongo ndo maana hatuendelei

    ReplyDelete
  10. kwa kweli mimi nakubaliana na mdau huyu hapo juu unamchukia mtu humjui? kweli wewe anonymous you need to get a life lazima you dont have one otherwise usingekuwa na muda wa kumchukia mtu humjui...congrats dada tunu nakupenda sana naona ndoa imejibu

    ReplyDelete
  11. umchukie umpende hayo ni yako Tunu is a shinning star wewe hapo ulipo sidhani kama unampata si ki akili si kiuwezo uwe unaangalia la kusema

    ReplyDelete
  12. wapumbavu nyie je mnajua elimu yangu hata muweke comments kama hizo huyo dada anafanya kazi mimi na kampuni yangu mwenyewe sisubiri kulipwa na mwajiri okey.........................na kielimu hanipata hata kidogo na nyie pia hamnipati nina degree ya UK chuo cha jina nakihifandi nyie mnajishauwa tu

    ReplyDelete
  13. hahaha we hater hapo juu unawazimu nini? uk kitu gani kwani umeskia yeye kasoma manzese? unajidai una kampuni, watu wana ma investment hawasemi ukute kikampuni chako chenyewe photocopy service, stop hating on others, they say the loudest in the room is the weakest. nobody even cares you umetoka wapi kama mtoto mambo safi muache!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...