Home
Unlabelled
afande mwamunyange atunuku shahada
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MKUU WA WILAYA NANIHII, NAONA MASENENE WAMEANZA KUNIFATA FATA, WASILETE ZAO ZA KULETE, MIMI NIMEENA JKT ETI, NA AFANDE MWAMUNYAGE NA KOVA NI WASHIKAJI ZANGU
ReplyDeleteMIMI PIA NAJUA KUZIRUSHA KWA HIYO KAMA WANATAKA ZA KULETA, BASI NA MIMI NITAWALETEA ZA KULETA, TENA SANA TU
TANZANIA, OYEE,
JKT OYEEE
ZIDUMU FIKRA ZA MZEE WA PAMBA JK
ZIDUMU
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
KIDUMU
KIDUMU FIRKA ZA RAIS MTARAJIWA 2015
ZIDUMU
ZIDUMU FIKRA ZA MAKAMU 2015
ZIDUMU
ZIDUMU FIKRA ZA WAZIRI WA UREMBO 2015 JOKETI,
ZIDUMU !
MASENENE WOTE WAKAFIE HUKO U.S.A NA U.K. WABEBE BOXI HADI WAFE KWENYE SHIFTI NA UROHO MBAYA
MKEREKETWA, YOMBO VITUKA !!!!
DAKIKA 30 ZIMEKWISHA
IMENIKASIRISHA SANA HIYO PICHA KWASABABU HUYO DADA ANA MVUTO LAKINI KUMTOKEA ITANIWIA NGUMU MAANA ANAWEZA KUNIPA KISAGO CHA KIJESHI.
ReplyDeleteHongera sana da'Mwanaisha.Endelea na juhudi zako kazini.
ReplyDeleteWewe Mla Vumbi na Mnuka Kikwapa anon wa kwanza tutolee pumba zako hapa, nenda kanusishane VIKWAPA na wala vumbi wenzako huko kwenye madaladala na vibajaj. Kama huna cha kuongea just shut the hell up, maana inaonekana una akili uharo, nyambaaaaaf.
ReplyDeleteMLETA HABARI TAFADHALI TULETEE MAJINA YA WOTE 26 WALIOPATA NISHANI HIZO. DADA KAPENDEZA!
ReplyDeleteWell naona nidhamu,ukakamavu na utiifu watoto wa mama Madawale hongera dada Mwanaisha..nimekumbuka mbali nyumbani//Great Britain
ReplyDeletekweli wewe annon wa kwanza una matatizo ya akili na unaonekana wewe umerithi kutoka kwa wazazi wakosasa hayo yote ya kutukana watu bila sababu ni nini? unajua wewe unaweza ukaja ukawa kichaa kwasababu ya chuki ulizo nazo? lait ungejua jinsi ulivyo na mawazo potofu! mungu akubariki ubadilike maana kwa mwendo huo unaokwenda hufiki mbali
ReplyDeletehongera dada! huyo annon wa kwanza anaonekana ni mtu mwenye maneno mengi sana kama ni mwanaume tunamuofia sababu huko anakokwennda kama sodoma vile? act like a mature jaribu kukua
ReplyDeleteni vizuri kuona watu wakitunikiwa medali. HONGERENI SANA. huyo shetani aliyetoa maoni ya kwanza ana problems gani. mtu kama huyo amechoshwa na maisha au ana mapungufu fulani kichwani. i am sure akikaa kwenye corner yake anakua akiwaza mambo mabaya tu. amuombe mungu wake amtolee matatizo aliyonayo. it is up to you kuishi maisha ya chuki au maisha ya upendo.
ReplyDelete