JK akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi Salim Levent Sahikaya wa Uturuki leo Ikulu, Dar. Katikati ni mkuu wa Itifaki, Balozi Anthony Itatiro
JK akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi Ian Hui Jong wa Korea ya Kaskazini leo Ikulu, Dar. Aliyesimama kati ni mkuu wa Itifaki, Balozi Anthony Itatiro

JK akiongea na balozi Nguyen Duy Thien wa Vietnam mara baada ya balozi huyo kuwasilisha hati zake Ikulu leo



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hivi hawa Wavietnam hawana majina mengine? Maana kila mtu ni Nguyen this... Nguyen that.

    Yaani nikishasikia Nguyen tu huwa siulizi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...