
Furaha Bookshop Mtaa wa Msimbazi na Uhuru
Amnet Bookshop Mtaa wa Livingstone na Msimbazi
Ibn Hazim Bookshop Mtaa wa Lumumba na Mafia (Mkabala na Msikiti wa Manyema)
Khartan Bookshop Mtaa wa Narung'ombe na Swahili
Maduka yote yapo kwenye kona ya mtaa (junction).
Ahsante,
SOMENI KWA FURAHA!
Mohamed Said
Mob: 0787 265 766
Mkubwa,
ReplyDeletemimi naona ungetufahamisha kabisa kiasi cha kujipapasa ili kupata kitabu hicho
Mdau wa Kinyerezi
Halafu Biashara za Bongo Kichaa kweli! Sijui huwa watu wanaonaje kutaja kabisa bei ya kitu!!
ReplyDeletekaka Mohamed hongera kwa kazi yako nimemtuma mheshimiwa aniletee kitabu huku (UK) Ahsante.
ReplyDeleteKaka Michuzi/Mohamed
ReplyDeleteTuandikieni 'mapitio' tupate kujua kwa muhtasari. Sisi wengine tuko mbali na nyumbani.