"FEST AFRIKA WINTER JAM"
Wamewasili kwa ajili ya onyesho litakalo fanyika kesho jumamosi Feb 7,2009
ENEO:KLUBI TAMPEREM
UDA:SAA mbili usiku hadi Kumi alfajiri
RATIBA:JAH KIMBUTE-REGGAE (Live band-Tanzania)
TABIA MWANJELWA-AFRO RUMBA (Live solo-Tanzania based in Germany)THE NGOMA AFRICA BAND & RAS MAKUNJA (Live band-Tanzania+Congo) Afro beat, ndombolo, Zuku and much more.
TOOTHPASTE BAND-WORLD MUSICTHE MPONDA´S - DRUMMING & BODY MOVEMENTS DJ´SGeorgie MTV, NESTAR, JAHGUN-Bongo & ALTUNES Tickets 10€ (advance at Klubi, Swamp Music & Epe´s)
USIKOSE...
NI GUMZO LA WINTER!!!
Picha zaidi na habari tembelea


Ngoma afrika mkitoka hapo mje sweden wakubwa...
ReplyDeletenina hamu sana ya kumsikiliza apeche..
wakubwa ngoma africa kweli nyie wanaume wa shoka yaani pamoja na
ReplyDeletehali mbaya ya hewa barafu na nanii!! lakini mmetua kuwapa burudani wenye bandi!!!?????