Mtoto Patrick Vieira Kobole akijitayarisha kukata keki ya kumbukumbu ya kuzaliwa miaka 3 iliyopita. Sherehe kabambe ilifanyika,nyumbani kwao Buguruni -Sukita. Wazazi,tunamtakia kila la heri katika elimu, pia michezo ili awe kama wajina wake P. Vieira .
Hongera Patrick Vieira Kobole.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hongera Patty,hiyo kofia imekupendezesha kweli kweli mtoto mzuri.Happy B.Day Patrick.Nitakuletea "m-doll" wa gari!(utani kwa watoto)

    ReplyDelete
  2. Hi Patty!
    HAPPY BIRTHDAY MTOTO MZURI. Umependeza sana! Nursery umeanza mtoto mzuri? Kama bado mwambie dad afanye kweliiii

    ReplyDelete
  3. Im just speechless.Congrat young blood.

    ReplyDelete
  4. Im just speechless.Congrat young blood.

    ReplyDelete
  5. ok ok ok mdoli wa gari?ha haa
    mi nimependa keki ya shape ya mpira

    ReplyDelete
  6. Dh kweli dingi shabiki! Hadi kamuita mtoto Patrick Viera!! Happy b'day kiddo!!

    ReplyDelete
  7. hongera damu changa.i hope wazazi watamlea ktk mazingira ya jina hilo.someday he will make it to PRO.

    ReplyDelete
  8. Hongera sana P.Vieira,hakika uwe kama wajina wako,kwani ni mchezaji mzuri sana,lakini kwa sasa umri ndio unamkwaza!!!!!!!!!!.Pia nimeipenda hiyo suti ya Vieira wa Buguruni-ni nzuri sana.

    ReplyDelete
  9. Jamani huyu mtoto kafanana na Mr nice au ni macho yangu?

    happy birthday big guy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...