ubao wa matangazo mtawra vijijinji. unaweza kupata picha zingine kibao za sampuli hii kwa kumtembelea mdau john mnamba kupitia
http://www.patastories.blogspot.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. HUO NI RUNINGA MTI
    MWANA BLOG RRRRRRR

    ReplyDelete
  2. sawa sawa maisha ndo aya tuliiii,,pesa yao yooote ya kodi wanazokatwa kwa vitu vyote zinaliwa na viongozi wachache sana na watu fulani tu tena mabilion per person
    i wish ningekua na uwezo nisilipe kabisa kodi,
    tutawaombea nyie FISADIZ ADI EITHER MUOKOKE AU MFE,NA SIKU UKIOKOKA URUDISHE MALI ZOOOTE IZO KWA NJIA MUNGU ATAYOPENDA.yani ulipe kwa matenmdo yako kwa maana ya kuwa safi mbele za Mungu
    khaaaa yani
    ooh sorry wadau nna hasira tu yani ya MAFISADI TZ

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...