

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi mbona vinapatikana kwa wingi sana tena kwa bei poa tu pale segerea itabidi ukolome na nyapara anaweza pia kukupa bure inategemea maelewano yenu good luck toka kwa mdau mfanyabiashara wa viatu va kike Nb dukani kwangu vimekwisha hao jamaa wamenunua vote
ReplyDeleteNaona sasa tulikofikia ni kubaya. Hicho ni kiatu au ni minyororo iliyowekewa nondo kwa nyuma. Inanikumbusha enzi za biashara ya utumwa. Watumwa walikuwa wanafungwa minyororo kama hiyo ili wasitoroke. Sasa kama na akina mama wanataka vitu kama hivyo it is serious! Huyo mai wifu wako nadhani ameshapoteza dira na uelekeo. Kama anataka viatu kama hivyo then it is crazy!! Mwambie atafute viatu vingine vya valentine ambavyo ni user friend!
ReplyDeleteMdau
oooh no!!!mtu anafyatuka enka sasa hivi,kudadadeki.hamna ushauri hapa koz sitaki kuwa shahidi.mi-fasheni mingine bana!
ReplyDeletehiyo ni shughuli ingependeza kama ungeuliza ulipoipata hiyo picta lazima kutakuwa na chanzo chake...by mdau london...
ReplyDeleteMIMI NI MR KIBORO MLETE KWANGU ALALE USIKU MMOJA TU NIMTIMIZIE HAJA ZAKE ZA VIATU NA MENGINEYO.ATAPENDA MWENYEWE NAKUAHIDI..
ReplyDeleteMpe ndala!
ReplyDeletehuyo mkeo ana visa mwambie zawadi anayopata usiku haimtoshi? au may be unahitaji msaada wadau wengi watajitolea
ReplyDeletehii miguu ya mzungu ? au mweusi??
ReplyDeletemifasheni mingine kweli noma
Bro mwambie mai wife wako kuwa kile kiwanda kilishagafungwa siku nyingi. Na hicho kiatu alichokiona kwenye hiyo picha kilikuwa kimebaki dukani maana kilikuwa kina matatizo mpaka mwenye duka ilibidi akigawe bure kwa wateja baada ya kukaa dukani muda mrefu kwa kukosa mteja. Hii itakusaidia usherehekee my valentine dai yako kwa amani. Vinginevyo akivaa hicho kiatu wakati munapotoka usiku, baada ya hatua tatu tu itakubidi uite taxi kwaajili ya kumpeleka MOI (najua gari yako umeipeleka gereji).Na nikujuavyo wewe unavyopenda kutoka nae usiku kwa usiku, muu!! itakuwa shida tupu, itakuwa mmeikosa valentine dai ya 2009
ReplyDeleteMdau
Cardiff
Kama viatu hivi vimekwisha , tengeneza vya kwako mwenyewe. Ni rahisi tu, Misumari ya Inchi nne, Mnyororo, soli zipo "natural" na nyundo umemaliza. Eich !!! Sitaki fikiria hayo maumivu..Loh !!
ReplyDeleteAcha ushamba wewe unashindwa chukua misumari 2 na minyororo ukaiweka kama hivyo!
ReplyDeletehiyo B ndio kwa maana ya BITCH nini?
ReplyDeleteHivyo viatu vya malaya wa barabarani!!
MTENGENEZEE MWENYEWE MBONA EAZY TO KUMAKE HIYO MODELI.
ReplyDeleteTATIZO LANGU MIMI SI HIVO VIATU, NI KULE HIYO MIGUU INAPOISHIA
ReplyDeleteZawadi gani hiyo! Ni kudhalilisha haki za akina mama! Na hiyo pingu enye 'B' mguuni manake nini? BONDAGE!? Yaani!
ReplyDeletemke wako kapata buzi anataka ku justify hatua yake kwa kukupa majukumu magumu ili ushindwe naye asingizie humtimizii mahitaji.Fanya utafiti haraka mzee,hizo ndizo dalili zao.
ReplyDelete