wadau nafwa! mai nanihii wangu amesema anataka kiatu hiki kama zawadi ya valentine. wapi kinapatikana wadau? EK Footwear wanasema vimekwisha, wamemaliza jana...nifanzeje wadau???

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. hivi mbona vinapatikana kwa wingi sana tena kwa bei poa tu pale segerea itabidi ukolome na nyapara anaweza pia kukupa bure inategemea maelewano yenu good luck toka kwa mdau mfanyabiashara wa viatu va kike Nb dukani kwangu vimekwisha hao jamaa wamenunua vote

    ReplyDelete
  2. Naona sasa tulikofikia ni kubaya. Hicho ni kiatu au ni minyororo iliyowekewa nondo kwa nyuma. Inanikumbusha enzi za biashara ya utumwa. Watumwa walikuwa wanafungwa minyororo kama hiyo ili wasitoroke. Sasa kama na akina mama wanataka vitu kama hivyo it is serious! Huyo mai wifu wako nadhani ameshapoteza dira na uelekeo. Kama anataka viatu kama hivyo then it is crazy!! Mwambie atafute viatu vingine vya valentine ambavyo ni user friend!
    Mdau

    ReplyDelete
  3. oooh no!!!mtu anafyatuka enka sasa hivi,kudadadeki.hamna ushauri hapa koz sitaki kuwa shahidi.mi-fasheni mingine bana!

    ReplyDelete
  4. hiyo ni shughuli ingependeza kama ungeuliza ulipoipata hiyo picta lazima kutakuwa na chanzo chake...by mdau london...

    ReplyDelete
  5. MIMI NI MR KIBORO MLETE KWANGU ALALE USIKU MMOJA TU NIMTIMIZIE HAJA ZAKE ZA VIATU NA MENGINEYO.ATAPENDA MWENYEWE NAKUAHIDI..

    ReplyDelete
  6. Mpe ndala!

    ReplyDelete
  7. huyo mkeo ana visa mwambie zawadi anayopata usiku haimtoshi? au may be unahitaji msaada wadau wengi watajitolea

    ReplyDelete
  8. hii miguu ya mzungu ? au mweusi??
    mifasheni mingine kweli noma

    ReplyDelete
  9. Bro mwambie mai wife wako kuwa kile kiwanda kilishagafungwa siku nyingi. Na hicho kiatu alichokiona kwenye hiyo picha kilikuwa kimebaki dukani maana kilikuwa kina matatizo mpaka mwenye duka ilibidi akigawe bure kwa wateja baada ya kukaa dukani muda mrefu kwa kukosa mteja. Hii itakusaidia usherehekee my valentine dai yako kwa amani. Vinginevyo akivaa hicho kiatu wakati munapotoka usiku, baada ya hatua tatu tu itakubidi uite taxi kwaajili ya kumpeleka MOI (najua gari yako umeipeleka gereji).Na nikujuavyo wewe unavyopenda kutoka nae usiku kwa usiku, muu!! itakuwa shida tupu, itakuwa mmeikosa valentine dai ya 2009

    Mdau
    Cardiff

    ReplyDelete
  10. Kama viatu hivi vimekwisha , tengeneza vya kwako mwenyewe. Ni rahisi tu, Misumari ya Inchi nne, Mnyororo, soli zipo "natural" na nyundo umemaliza. Eich !!! Sitaki fikiria hayo maumivu..Loh !!

    ReplyDelete
  11. Acha ushamba wewe unashindwa chukua misumari 2 na minyororo ukaiweka kama hivyo!

    ReplyDelete
  12. hiyo B ndio kwa maana ya BITCH nini?
    Hivyo viatu vya malaya wa barabarani!!

    ReplyDelete
  13. MTENGENEZEE MWENYEWE MBONA EAZY TO KUMAKE HIYO MODELI.

    ReplyDelete
  14. TATIZO LANGU MIMI SI HIVO VIATU, NI KULE HIYO MIGUU INAPOISHIA

    ReplyDelete
  15. Zawadi gani hiyo! Ni kudhalilisha haki za akina mama! Na hiyo pingu enye 'B' mguuni manake nini? BONDAGE!? Yaani!

    ReplyDelete
  16. mke wako kapata buzi anataka ku justify hatua yake kwa kukupa majukumu magumu ili ushindwe naye asingizie humtimizii mahitaji.Fanya utafiti haraka mzee,hizo ndizo dalili zao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...