Salaam,
Tumepata nafasi ya kuzungumza kwa kirefu na Mhe. Lucas Selelii Mbunge wa Nzega, miongoni mwa wabunge wenye msimamo wa kimabadiliko na miongoni mwa vinara wa vita dhidi ya ufisadi ndani ya CCM na katika Taifa.
Tafadhali hakikisha unasoma sehemu ya ahadi yetu kwani tuna ujumbe muhimu kwa wasomaji wetu na wanachama wetu. Ungana nasi pia kwenye mijadala motomoto kwenye forum yetu ya
ambapo mojawapo ya mijadala ya kina ni suala la Rais wa zamani Mzee Ally Hassan Mwinyi kushambuliwa siku ya jana kwenye maadhimisho ya Siku Kuu ya Maulidi pale ukumbi wa Diamond Jubilee.
Tushirikishe mawazo yako. Vivyo ni mahali ambapo kila tunapopata habari unakuwa wa kwanza kabla hujazisoma habari hizo kwenye magazeti, kusikia radioni au kutazama kwenye luninga.
Karibu! Twende na tuwe Cheche!
Title: KLH News Episode:
Mahojiano na Mhe. Lucas Selelii (Nzega) - "Mmekula hamshibi?"
/2009-03-10T23_24_30-07_00
Enjoy!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Distribution of wealth. CCM ni chama kama republican they have money and they run the country. Sasa mtakapoanza kama Obama huku ugomvi na matajiri uchumi utateketea hapo . Sasa hivi Marekani hali ni mbaya mno Republicans wote wamesema waziwazi wanataka Obama ashindwe nchi . Obama alisema anataka kudistribute wealth . Marepublican wameshatoa pesa zao na hawanunui stocks . Sasa hapo anateseka nani? black america , wachikano na minority wengine .
    Juzi wamefukuza kazi watu 2000 , na wote ni weusi na wachikano wazungu wote wamebaki. Watu wenye elimu zao wamepoteza kazi.
    Sasa hapo anaeteseka ni nani sisi minority au Republicans .
    Ndio Tanzania kutwa nzima ccm ccm mtaachiwa nchi hiyo, cha moto tukione maana yake . USA IS DOWN TO THE WIRE NA NYERERE ALISEMA KUTEGEMEA UNCLE CLINTON MSAADA HAKUFAI SASA THE SIGH OF TIME IS APROACHING . Republican ndio wenye pesa na haziko bank . kazi ipo . Uchaguzi wa obama utawacost sana minority maana ni wanateseka sasa hivi vibaya mno .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...