
Umati wa wanachama wa Kampuni ya Kupanda na Kuvuna mbegu (DECI Tanzania Ltd), ukiwa nje ya ofisi hizo eneo la Mabibo, Dar es Salaam kusubiri taratibu za kurudishiwa pesa zao.
Watu kadhaa wanaosadikiwa kuwa wanachama wa Kampuni ya Development Entrepreneurship for Community Initiative (DECI) wamezimia na wengine saba kutumbukia kwenye shimo la maji machafu katika ofisi za taasisi hiyo, Mabibo, Dar es Salaam kutokana na vurugu wakati wa kujiandikisha kwa ajili ya kurudishiwa fedha zao.
Soma zaidi...


natoka nje ya mada nakusema RIP sahau kambi,pumzika kwa amani.
ReplyDeleteTanzania Tanzania tanzania Tambarare Elimu Duni Umasikini.
ReplyDeletewatanzania nendeni kufanya kazi hakuna hela zinazopatika kirahisi hivyo!!hizo hela za bure zitawaua yaani inasikitisha sana kuona watu wanategemea mteremko hivyo dawa ya maendeleo ni kufanya kazi kwa bidii na kupinga mafisadi kwa nguvu zote,hakuna uchawi wala upatu jamani karne ya 21 hii,nyie kwa nini hamuigi kutoka nchi zilizoendelea mnatia aibu sana khaa!!!mara kuua maalbino mara upatu mmetuchosha sana mnapenda vya dezo sana.
ReplyDeleteHII PICHA INAONYESHA NI JINSI GANI UKATA ULIVYOTAWALA ASILIMIA KUBWA YA WATANZANIA,NILIFANYA JAMBO LA MAANA SANA NILIVYO KIMBIA HUO UKATA MIAKA MITANO ILIYOPITA NA KUJIKITA HAPA USA WATOTO WANGU WATATU WANASOMA PRIVATE SCHOOL NA WANAFANYA WONDERS SHULENI,AT THE SAME TIME NINAMALIZIA KIBANDA CHANGU CHA VYUMBA VITATU KINYEREZI NA ELIMU YANGU FORM FOUR YA BONGO NA NINA CHAMBA WAZEE KWA KWENDA MBELE HAPA MAREKANI, MOST IMPORTANT I MAKE DIFFRENCE IN MY FAMILLY,NYIE ENDELEENI KULA VUMBI NA MAFISADI WENU.
ReplyDeleteKWANINI WAJIANDISHE TENAAAAA?????? KWANI WALIPOKUA WACHUKUA PESA SI WALIJIANDIKISHA MAJINA KUNA MASWALI MENGI YA KUJIULIZA SASA NYUMBANI KUNA TISHA HATA MTU UKIFIKIRIA KURUDI INAKATISHA TAMAA ANGALIA WATU WANVYOTIA HURUMA JAMANI DUUUUUUUUUU
ReplyDeleteThese people are real criminals not quite unlike the EPA lads. I am wondering how on earth they were allowed to operate as a financial institution. Are we likely to see some big fish in the regulatory bodies go down with it? Probably not - but we should...
ReplyDeleteEti wadau hivi kumbe ukipanda mbegu zako halafu mvua zikikuzingua unaenda kufukua mbegu zako unaendelea na mambo yako mengine siyo?!!
ReplyDeleteHii kali.
I wish to differ with Al Musoma, in TZ no one goes down for any reason.They are there to stay, only death removes people from their esteemed offices!
ReplyDeletenyie mnaojidai mko USA na maisha mazuri uongo mtupu kazi kusafisha vyoo, na kuosha masahani yenye bacon burger,mbona mnacheza lottery ya 1 USD? cha maana watz TUJIFUNZE hakuna maisha rahisi mungu alituumba tufanye kazi ndio tuvune and not otherwise hata msemo maisha bora hayawezi kugonga hodi mlangoni kwako bila kujituma kufanya kazi tunapenda kukaa vijiweni na kuota maisha bora,shortcuts kama deci na albino killings!
ReplyDeleteUkweli ni kwamba ukitumia jina la Mungu kutapeli wengi wataumia kwa sababu wanakuwa na imani kubwa kwa wahusika. Hawa wachungaji matapeli wa kutisha lakini cha ajabu bado wanadiriki kulaumu serikali. Inasikitisha sana. Lakini bila shaka sheria itachukua mkondo wake. Watu anagalau wapate hata kile walichokiweka halafu wao washughulukiwe kama vile wezi na matapeli wengine washughulikiwavyo. These are bad guys!!
ReplyDeleteJehovah have mercy n forgive us
ReplyDeleteits so sad,i really feel so bad when i see this
peace
KATIKA MSAFARA HUU NA KENGE (VIBAKA) WAMO TULIJUE HILO, AMINI USIAMINI HUMOHUMO WATU WATALIZWA MIFUKONI MWAO NA VIPIMA JOTO VYAO.
ReplyDelete