wakiwa na vijana waliowasindikiza si wengine ila wadau salim na lubna ambao wememeremeta wikiendi hii katika ukumbi wa diamond jubilee VIP hall jijini dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. mashaallah! wamependeza haswa!

    ReplyDelete
  2. mashallah lubna mwanangu umependeza M,Mungu akujalieni kila la kheri na maisha ya furaha,nimefurahi kuona picha zako. aunty from helsinki.

    ReplyDelete
  3. kupendeza siyo hoja bali ninawaombea dua mola wangu awajaliye muishi katika maisha ya furaha na afia bora muzae kizazi chema hadi muhitimishane muwe pamoja kesho peponi maana ndowa nyingi huko nyumbani watoto wa kisasa hawaishi na mabwana mola wabariki amin mdau canada.

    ReplyDelete
  4. hayo manywele fake yanini?

    ReplyDelete
  5. Mashallah maharusi na wapambe wamependeza.

    ReplyDelete
  6. hakika mmependeza,minawatakia kila la kheri katika maisha yenu mapya ya mwili mmoja. kaka london.

    ReplyDelete
  7. weee anon wa 12:58AM
    kweli mshamba, kubali tu wenzio wametoka chicha..

    ebwana eee big up kwa maharusi, mmetoka bomba ile mbaya.

    ReplyDelete
  8. Bi harusi aumwa kwashakoo..au..!!!!

    ReplyDelete
  9. Wee anon wa 12:33 AM, kweli mpori pori alokwambia hizo nyele ni "fake" nani? Unataka elimu ya kiwango gani itumike kuona kwamba hao wapambe na karibu kila mtu kwenye hizo picha ni muarabu/mhindi whatever...!? Hizo nywele zao babu punguza wivu wasifie maana wamependeza si mchezo lione kwanza sura kama nyau!!!

    ReplyDelete
  10. sasa mbona hakuna hata mmoja anae onekana amekalia kibongo bongo jamani au ndio hawana marafiki wenye uonekano wa kibongo ?

    ReplyDelete
  11. Wee anony wa April 06, 2009 2:20 PM, kwani hujawahi kuona watu wa rangi hiyo bongo? au wivu huo unakukondesha?

    ReplyDelete
  12. hongereni sana bwana na bi salim.. ila if i may ask, huyu lubna ni yule lubna alimaliza shaaban robert au?

    ReplyDelete
  13. dah, hapo raha ukiwa shemeji wapambe wote hao wa kike!!!!

    ReplyDelete
  14. thats it the deal is done! inshaalah m/mungu akujazeni kheri, rizki iliyo ya halali na kizazi kilicho bora na akujaalieni furaha isiyo na kifani! Nitakumiss sana ktk zile harakati zetu za kibachelor mtu wangu halaf mwambie shem lubna nikiingia bongo break ya kwanza kwenu kula mahanju manaake itakuwa hatari si unajua b'gham sipati vitu adimu! Ally Gizzo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...