sandra akisherehekea hepi besdei yake ya kutimiza miaka 9 katika mgahawa wa vicent huko reading, UK.
sandra akiwakawaka wakati wa sherehe hizo. inasemekana anataka kuja kuwa top modo
rafiki wa sandra wakijiu7nga naye michezoni
kila aliealikwa alifurahi
shoo spesho ilikuwepo. sanda ameituma globu ya jamii kutoa shukrani za dhati kwa wote waliofika na waliofanikisha shughuli hii muhimu katika maisha yake. anasema hana cha kuwapa zaidi ya asante na kuwaombea mema mbele ya Muumba.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. naomba niruhusiwe nipeleke mahali mapema kwa huyu Sandra. Hayo ni maombi ya mwanangu

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2009

    She is very cute! Go Sandra!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2009

    Watu wa Uk mna mambo, ..haya tumewaona!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 07, 2009

    Kwa watanzania wote mnaoishi Reading (UK), ninategemea kumaliza masomo yangu by distance learning hapo "Reading University" mahafari yatafanyika December mwaka huu, ningependa kuwashikisha.

    Nifanyeje? Mnajumuiya hapo?. Ninawezaje kuwasiliana nanyi?

    Nitafurahi kupata ushirikiano wenu.
    Natanguliza shukurani zangu

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 07, 2009

    Huko London HAMNA Gym?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 07, 2009

    duuuu najutaaaa kukaangaliaa sijui nijirudishe nyuma umri na umbo maaana katoto kamekwenda shule balaaa looo ni udenda hapa unanitoka eeeeh samahani mwenye mtoto nillikuwa najaribu tuuu....

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 07, 2009

    Wat so special here? Ni hayo tu kwa kweli

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 07, 2009

    Hey Guys!! the todller looks great! and she's so cute as well, i liked her in her red outfit with her glasses on top, it goes well with her age, but why did they dress her in that pink and black? with some accessories and gloves? it was too much for her age, c'on dont get me wrong she looks great!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 07, 2009

    Peter, una maanisha nini unaposema upeleke 'mahali' ?

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 07, 2009

    inatia raha sana wazazi kuwaonyesha watoto wetu tunawapenda walao sikifika siku zao special kama hivi maana mzazi wa kibongo kumwambia mtoto nakupenda hiyo haipo kabisa.du katoto kako bomba sana.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 07, 2009

    Hongera Sandra umependeza saana na sherehe yako imefikia kileleni, ni furaha kwa

    Uncle
    mickey@mail-online.dk

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 07, 2009

    Michuzi una kazi!!!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 07, 2009

    So cute! They are all beautiful, Happy B'day Sanda!!! Work towards your dreams!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 07, 2009

    wadau hii imekaaje kuhusu hawa wakenya

    http://english.aljazeera.net/news/africa/2009/05/20095782920835739.html

    ReplyDelete
  15. Ndo maana mnaambiwa muwe mnajua tofauti ya L na R.
    Anon wa kwanza sio MAHALI ni MAHARI.Imenibidi niisime sentensi mara 4 nielewe umemaanisha nini.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 08, 2009

    wow you kids you great...happy bday Sandra.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 08, 2009

    man u!!

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 08, 2009

    where's the Cake?

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 08, 2009

    Mdau Mbigiri you are too funny!!

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 08, 2009

    Michuzi huna aibu umepublish comment ya huyo anaye dai udenda unamtoka eti au arudishe nyuma miaka , huoni hiyo ni sio sawa kwa jamii kwa mtu mzima kusema anamtamani huyo mtoto mdogo,under age child au una fagilia child molestation? unaona ni sawa? shame on u Michuzi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...