Ndugu Michuzi,
Hongera zangu za dhati kwa kuiendeleza Blogu ya Jamii!!
Nakuomba unirushe kwenye Blogu yetu ya jamii ili tuwapashe wenzetu kwamba kuna kablogu 
www.uksokainbongo.blogspot.com 
mahsusi kwa wadau wa soka la England!! 
Haka kablogu ni kama pastitaimu yangu kwa vile niko mbali na bongo na nina muda mwingi wa 'kucheza' na kitu nikipendacho ambacho ni soka.

 Hivyo, huwa natoa nyuzi, ratiba, uvumi etc ndani yake.

Shukrani za dhati Ndugu Michuzi
Mdau stormingfo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2009

    Kuanzia leo Ubishani wa mpira kweli bora muende huko ndio Blog ya jamii ya mpira. HAPA mwachie michuzi aweke anavyopenda yeye Michuzi manake anatubania tumuache nal liverpool yake.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2009

    Nyie watu mnaoanzisha blog mnakosea kitu kimoja. Vitu ulivyoweka kwenye kwenye blog yako naweza kuvipata sehemu nyingine sasa ni sababu gani zitanifanya mimi nitembelee blog yako? Utakuta hata JF wanatoa habari kwenye magazeti halafu michango yao ni sawasawa na vikao kwenye kahawa kariakoo. Mbaya zaidi utakuta mtu badala ya kuweka kichwa sahihi cha ile habari anakibadilisha ili aweke pumba zake. Kwa mfano kuna habari mwananchi ilikuwa inasema 'Lipumba azidi kuwashambulia Mengi, Rostam' mtu aliibadilisha na kusema 'Lipumba amshambulia Mengi' ili mradi wapate nafasi ya kumshambulia Lipumba na jinsi walivyomuelewa Lipumba ni tofauti kabisa na lengo la Lipumba kusema vile. Ila mimi siwalaumu sana, mabox yanawafanya washindwe kwenda shule na kuweza kumuelewa mtu mwenye level ya elimu ya Lipumba na mtu pekee wanayemuelewa ni Mbowe, hata Zitto elimu yake na ufahamu wake ni mkubwa sana kwao ndiyo maana Zitto amejitoa pia.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2009

    WE MTOA MAONI HAPO JUU ACHA UPAMBE WE MOJA KWA MOJA UNAONEKANA NI MBEBA BEGI WA LIPUMBA. WE SIO LAZIMA USOME HABARI ULIOKWISHA SOMA KWENYE BLOG NYINGINE KAMA UMESHAISOMA SI ACHA HULAZIMISHWI BWANA. HAYO MAMBO YA LIPUMBA MENGI S ROSTAM NK NI SIASA NA BIASHARA NDANI YAKE WE KAMA MPAMBE HUYAWEZI KAA KUSHOTO,USITAKE KUTUCHANGANYA

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 07, 2009

    HAKO KA BLOG KA SOKA LA UK BONGO KAMETULIA NIKAZURI HASA KWA WALE MAIMUNA WA KUSOMA KI-INGLISH.BIG UP BLOGER

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 11, 2009

    Nadhani, kuna baadhi bado wana 'mentaliti ya vijiwe vya kahawa chungu'!!
    Hawa, Hawajui kuendeleza lugha yao, hawajui mapenzi ya watu kwa michezo ni nini na hawajui hata wao wenyewe wanakitaka nini!!
    Hawa, wao wamekaa tu kukosoa wengine na ukimuuliza buni chako ni mbumbumbuuuu wa hali ya juu kabisa!!!
    Hao, ndio, wajinga waliwao!!!

    ReplyDelete
  6. storming mbona hupatikani kwenye simu mzee salama?mi habib dizim

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...