nyota wa muziki wa kizazi kipya, mwansiti, aongea  
na globu ya jamii kuhusu mambo yake, ikiwa ni 
pamoja na kibao chake kipya pamoja 
na albamu itayoingia sokoni punde

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2009

    Michuzi acha uhuni, eti mie napenda sana ule mziki hebu niiimbiee

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 05, 2009

    Michuzi acha uhuni eti kuchomekea, lol naona ulitaka kumchomekea dada wa watu akashtuka.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 05, 2009

    Japokuwa nadhani hakuwa amejitayarisha kuongea na mwandishi, lakini nimeona kuwa ana uwezo mzuri wa kujieleza na kujibu maswali...ninamsihi kuwa yeye si lolote kwa sasa hivi aendelee na tabia yake njema na wala asije akalewa sifa na kupoteza uwezowake katika fani ya muziki.
    Hongera Mwasiti na sasa hivi ninakusikiliza katika kibao chako, japo ni maelfu ya maili.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 05, 2009

    mwasiti upo juu sauti yako inamtoa nyoka pangoni

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 05, 2009

    I wish dada zetu wawe "sharp-minded" like her.She appears simple but complex in her own way.Namtakia heri ya maisha na music.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 05, 2009

    Jamani siyo MWANSINTI, NI MWASITI.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 05, 2009

    ..mwansiti, mwasiti, mwaciti?..

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 05, 2009

    Now there's a genuine talent!

    Big up mwasiti keep keepin on work harder everyday, harder than yesterday and you will reap the the fruits of ur labor. Aim high, go for bigger things. Nakaaya is doin good for us, you can do better if u put urself down to it!

    I love uuuuuuuuuuu!!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 05, 2009

    Eneo la interview ni Starbucks au HardRock Illinois? au Bongo ndo imekuwa tambarare hivi?

    Mbeba Box Mkongwe
    Belgium.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 05, 2009

    michuzi bwana "mi naupenda sana ule mwimbo hebu nipe mstari mmoja, KWELI TENA"LOL
    oyaaaaa

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 06, 2009

    Hapo ni Best Bite...Namanga Dar... Iyo mbona cha mtoto kuna Marybrown Masaki usssipaiiiimeeeeeeeeee...

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 06, 2009

    she seems to be very smart, she can do more than music. Keep it up Mwasit.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...