Home
Unlabelled
seba na mary wameremeta ile mbaya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mkuu wa Nanihii nadhani umetumia neno BABU HARUSI ili kuleta usawa ktk lugha kwani siku zote huwa tunatumia neno BIBI HARUSI kwa upande wa pili,lakini nadhani umesahau kidogo maana ya neno lugha kuwa ni sauti za NASIBU.Hii ina maana maneno ya lugha yoyote huwa yanatokea tu,ukitaka kuanza kutafuta usawa ktk lugha utapata shida sana maana maneno kama hayo yako mengi.Nakushauli Michuzi uendelee tu kutumia neno BWANA HARUSI ndilo neno sahihi na sio BABU HARUSI;waswahili tunasema `kuchamba kwingi ni kuondoka na mavi` jiepushe na upotofu wa lugha hata kama watu wanataka USAWA.Ni hoja binafsi naomba kuwasilisha.
ReplyDeleteTHE KOP
ST-JEAN
CANADA
Nimeipenda hiyo "Babu Harusi", kali kuliko. Na inabidi hata kwenye hafla za kiserikali wakiwa wanahutubia waseme "Mabibi na Mababu", sio "mabibi na mabwana".
ReplyDeleteHongera sana Seba kwa kutuletea wifi mzuri,upendo wenu uwe hivyo hivyo siku zote za maisha yenu!! Mmependeza sanaaaaa!!! by Alice-Siwangu
ReplyDeleteMLIPENDEZA SANA. HONGERENI. MTOTO WENU ATAKUWA BOMBA ILE MBAYA
ReplyDeleteWamependeza sana,ila ungetuwekea picha zaidi hata mbili tatu eeh!!!hongereni.
ReplyDeleteBi harusi ni Queen Latifa?
ReplyDeleteHao studio wameharibu picha kwa kujaribu kuiwekea marangi ili muonekane bomba zaidi. wamekufanya uonekane kama huna kidevu bwana. Hongera sana mzee mwamba
ReplyDeletekwa taarifa yenu , grandmaza ni NYANYA na sio bibi, bibi ni mke kwa hiyo babu harusi ni uzushi
ReplyDeletewe anon. hapo juu grandmaza=NYANYA, wachache tunafahamu hilo lakini linatuchanganya na Nyanya za sokoni! Bibi imetulia zaidi kwa watu wote.
ReplyDeletehongera sana kaka Seba...sipati picha jinsi ambavyo simon,kmo,max na made walivokuwa chicha siku hiyo..hope mambo yalienda poa sana tu...Nsali
ReplyDeletembona km wamezeeka ivi,i mean watu wazima ivi!! au ndo background ya picah iyo imeharibu???
ReplyDeletewewe uliesema wanawake wa kibongo ni mkorogo,ni mkeo,mama yako,dada zako anty zako au nini!!
uwe na adabu
mumependeza sana
Hongera sana Mary, kwa kweli mnameremeta! Mama na Mwna tunasubiri product yenu tu! teh teh!
ReplyDeletekwa muda mrefu sijawahi kuona picha nzuri ya arusi naomba muweke na nyingine .mmepeneza mno mnafanana. ni nzuri kuliko ebu tuwekeeni picha. you are very natural GOOD.
ReplyDeleteHongereni picha nzuri sana ila hawa watu wanaofanya uhariri wa picha waache kulipua wanatuharibia wenye kazi zetu.
ReplyDeletewaaaaaaaaaooooh mmependeza saaaaaaaaaaana,mungu awabariki mkaishi maisha marefu ,awaepushe na vishawishi,awajaalie watoto eemen!!
ReplyDeletewaaaaaaaohhh Mr& Mrs Seba!!!! mmependeza saaaaaana i like it!!! mungu awalinde katika ndoa yenu eemen
ReplyDeleteMama Nadine