Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu , Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa ( TAMISEMI) , Celina Kombani ( wa pili kutoka kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Luteni Kanali Mstaafu, Issa Machibya ( wa kwanza kushoto) wakiwa na baadhi ya wakuu wapya wa Wilaya na wazamani wakitoka nje ya ukumbi wa mafunzo kwa Wakuu wapya walioteuliwa hivi karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2009

    Hivi hicho kijitambaa cha begani ndo lazima kila mwanamke wa bongo ajitundike....maana naona kila mtu anajikwida....kama huyo mtu wa nyuma sioni ni kwa nini kajitundika hilo jitambaa
    michuzi nakukumbusha hii ni blog ya jamiii hamna kubania comments

    ReplyDelete
  2. Kidevu MseseMay 05, 2009

    Kwani hapo kuna Ngurdoto nyingine au hao hadhi yao ni ndogo kidogo??
    Wenzao walipelekwa kule upepo unakovuma kwa vipimo vya kisasa.

    ReplyDelete
  3. Huyo hapo nyuma ya Mh. Kombani ni mwanafunzi wangu wa siku nyingi pale Kleruu Chuo Cha Ualimu anaitwa Fatma Salim Ally. Sijui na yeye ameukwaa u-DC!!?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 06, 2009

    Suti nyeusi na flana nyeupe wapi na wapi?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 06, 2009

    Na muona Mkuu mpya wa Wilaya ya Hai Dr. Norman A. Sigala mwenye kaunda suti nyeusi na fulana nyeupe.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 06, 2009

    Jamani huyo si Dr. Sigala??? amekuwa DC, Mbona msomi sana???

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 06, 2009

    hizo tandio wengi wakishaingia kwenye seminar wanajifunika coz ya baridi ya kiyoyozi ndio maana hao mababu wamepigizia suti,sasa wakitoka wanatupia tu begani,ingekuwa student wangefunga sweater kiunoni.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 06, 2009

    huyo wa kulia kabisa, suti nyeusi na tai nyekundu ndiyo francis isaac

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...