Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu , Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa ( TAMISEMI) , Celina Kombani ( wa pili kutoka kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Luteni Kanali Mstaafu, Issa Machibya ( wa kwanza kushoto) wakiwa na baadhi ya wakuu wapya wa Wilaya na wazamani wakitoka nje ya ukumbi wa mafunzo kwa Wakuu wapya walioteuliwa hivi karibuni

Hivi hicho kijitambaa cha begani ndo lazima kila mwanamke wa bongo ajitundike....maana naona kila mtu anajikwida....kama huyo mtu wa nyuma sioni ni kwa nini kajitundika hilo jitambaa
ReplyDeletemichuzi nakukumbusha hii ni blog ya jamiii hamna kubania comments
Kwani hapo kuna Ngurdoto nyingine au hao hadhi yao ni ndogo kidogo??
ReplyDeleteWenzao walipelekwa kule upepo unakovuma kwa vipimo vya kisasa.
Huyo hapo nyuma ya Mh. Kombani ni mwanafunzi wangu wa siku nyingi pale Kleruu Chuo Cha Ualimu anaitwa Fatma Salim Ally. Sijui na yeye ameukwaa u-DC!!?
ReplyDeleteSuti nyeusi na flana nyeupe wapi na wapi?
ReplyDeleteNa muona Mkuu mpya wa Wilaya ya Hai Dr. Norman A. Sigala mwenye kaunda suti nyeusi na fulana nyeupe.
ReplyDeleteJamani huyo si Dr. Sigala??? amekuwa DC, Mbona msomi sana???
ReplyDeletehizo tandio wengi wakishaingia kwenye seminar wanajifunika coz ya baridi ya kiyoyozi ndio maana hao mababu wamepigizia suti,sasa wakitoka wanatupia tu begani,ingekuwa student wangefunga sweater kiunoni.
ReplyDeletehuyo wa kulia kabisa, suti nyeusi na tai nyekundu ndiyo francis isaac
ReplyDelete