Home
Unlabelled
Ufunguzi wa Shina la CCM Northampton
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani hivi nyie mnaoipenda ccm hadi huku ulaya mna nini? hamjapata tu mda wa kucompare ccm na lobour mkatamani muwe na nyinyi na mabadiliko na maendeleo ya kweli? my dad ni mbunge wa ccm i hate ccm ilivyoshindwa kufanya kitu for over 40 years now,my dad akivaa hayo magwanda sitaki hata kumuona.
ReplyDeleteKidumu Chama Cha Mapinduzi...
ReplyDeleteNakuona..Kasongo na wewe ulikuwepo.
Kazi nzuri.
Enzi za Mwalimu tungesikia kwamba wajumbe wa mkutano huo pia walifanikiwa kuchangishana fedha kuwasaidia ndugu zao waliokumbwa na maafa Mbagala ila siku hizi ...
ReplyDeleteHooooooooooooovyo!
ReplyDeleteJamani, jamani! Yesu sijui atarudi lini aje kuokoa viumbe wake.
ReplyDeleteHivi kuwa mwanachama wa CCM ndiyo inakufanya mtu kuwa mtanzania halisi?
Anyway, labda rais wa Tanzania 2015 atatokea Uingereza, Reading perhaps?
Hivi wenzetu uko nje hamna chama mnachokipenda, mnachokijua na mnachoshabikia zaidi ya CCM? kila kukicha ni ufunguzi wa tawi la ccm mahari fulani au ndio kujipendekeza? amkeni, tunaitaji kusikia na wengine wakijiunga na vyama vingine. au ukiwa nje ya nje utakiwa kuwa na chama zaidi ya ccm?
ReplyDeleteubazazi huuu sasa ,.........nendeni kazini huko !
ReplyDeleteNi sifa gani unahitajika kuwa nazo ili kuomba uwanachama wa CCM ?jee ukiwa Msomali ,Mburundi,Mruwanda ,Msudaniunaweza kuomba uwanachama wa CCM ?
ReplyDeleteLILLA powa tu,CCM juu
ReplyDeletePamoja na wizi wooote as recently as Mengi vs Rostam watu tu bado wamelala usingizi mzito, na kukaa Ulaya haisaidii kitu
ReplyDeleteHassan Hafidh vipi ndugu yangu kazi ya dukani imekushinda?
ReplyDeleteVigroup vya watu walio-losti majuu ni rahisi sana kuvigundua. Hawa jamaa pamoja na opportunities nyingi zilizo mbele yao wao bado wanashindwa kuzi-grab. Badala yake wanapiga hesabu za kujionyesha kwamba wao ni sisiemu damu. Duh, Mungu wasaidie.........
ReplyDeleteHaki Ya Nani nafanya uchunguzi wa sheria za uingereza zinasemaje kuhusu kuanzisha au kuendeleza shughuli za chama cha siasa cha nchi nyingine ndani ua UK.. Kama ni kinyume cha sheria huu upuuzi wenu mnaofanya Mtapigwa bomba halaf tuone hiyo ccm mnayoishabikia kama itawaokoa... NYAMAFU.
ReplyDeletenamikoa naye mjumbe wa ccm northampton, huyu si yuko lesta. bora angefungua tawi huko lesta
ReplyDeletemnaacha kufanya mikutano na vikao vya kuangalia namna ya kuwapongeza wanaotaja mafisadi kwa ujasiri mnafungua matawi ya CCM. Ni muda mfupi tu mtasema"najuuuuuuuuuuuta kuwa mwanachama wa CCM" maana karibu itabwagwa chini kutokana na kuwakumbatia mafisadi
ReplyDeleteUshahidi wa kutosha ndio huo hapo sasa kuna wale alikuwa wanjifanya wajanja wa maneno siku zao zinahisabika
ReplyDeleteachani ujinga wabeba mabox, kilicho wapeleka huko ni mabox, bebeni mabox muwasaidie ndugu zenu home, CCM haitowasaidia, zaidi ya kuripua mabomu
ReplyDeleteJamani mimi pia niko huku ulaya ila sio UK, na mimi siku hizi siichukii sana ccm kama zamani ila nashindwa kuwaelewa hawa watu, wamefikiria nini hasa mpaka wakaamua kuanzisha matawi ya ccm huku!! Yaani ina maana wanataka kundesha shughuli za chama huku ughaibuni!! Kwanini lakini wanatuletea mambo haya jamani! Huku watu walokuja kusoma wasome warudi wakafanye shughuli zao nyumbani na kama ni mambo ya ccm wakayafanyie huko huko bongo. Walokuja kubeba box wabebe box hadi watakapochoka. Jamani plz no more matawi ya ccm huku ughaibuni, plz, plz.
ReplyDeletehawa watu sijui wamekosa lakufanya?ccm imetuletea umasikini ,majambazi, mafisadi , jamani si tujaribu vyama vingine au tuwe independent , TZ bado sana kukomboka
ReplyDeleteInawezekana wenzetu wa ughaibuni kuna mengi mazuri mnayoyaona kwa CCM. Tujulisheni basi ili nasi tuweze kuipenda manake wakati kila takwimu zinaonyesha nchi yetu kuporomoka kutokana na uongozi wa CCM nyie mnazidi kuipa chapuo. Nina wasiwasi na upeo mlio nao. Ndo maana kuna aliyewahi kusema "Majuu Hamnazo".
ReplyDeleteKidumu chama cha mapinduzi, kusema ukweli kimetutoa mbali. Hakuna chombo kisicho na kasoro. Mkumbuke CCM ndiyo imetusomesha na kukutibu mpaka tukafika hapa. Wapuuzi wote mnaokashifu CCM mngekuwa walala hoi bila CCM. Mimi personally naishukuru sana CCM na sikatai kuwa dosari zimekuwa nyingi lakini tusisahau wema wake. Mimi nimesoma darasa la kwanza hadi degree ya mlimani kwa pesa ya CCM, labda hawa watoto waliozaliwa juzi hawajui HISTORIA YA CCM. Watu wote, uwe mkulima mfanyabiashara kama bongo yako inafanya kazi utafika unapotaka. Nilivyojua hivyo nilisoma kucha kutwa na kweli wazazi wangu walikuwa wakitaarifiwa kuwa mwanao anakwenda kusoma kilakala au msalato na bila wao kulipa chochote kile, tumealala kwenye mawbweni, tumekula chakula ingawa hakikuwa kizuri na walimu waliotulea kama mama na baba zetu. Baada ya kuja huku ughaibuni na kuona junsi mitoto ya huku inavyolelewa eti mwalimu hathubutu kumrekebisha mwanafunzi, mzazi ukichapa kiboko unaweza lala jela na kama huna pesa basi wewe utaishia high school. I really appreciate nchi yangu kwa kuniwezesha kufika hapa nilipo. Na ingekuwa vizuri zaidi kama tungeshirikiana kuanzisha umoja au vyama vya wasomi na kusaidia kuinua hali ya elimu nchini mwetu. Tunajua bado tuko nyuma ki-technologia! KAMA MNAWEZA KUANZISHA CCM KWANINI TUSIANZISHE UMOJA WA WASOMI WA KITANZANIA WANOISHI NJE NA KUANZISHA PROGRAMM ZITAKAZOWANUFAISHA WATOTO WETU HUKO NYUMBANI. MFANO WATU WANAOJUA COMPUTERS WANAWEZA KUANZISHA LIKE SUMMER PROGRAMM NYUMBANI WAKIWA LIKIZO NA KUWAFUNDISHA WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI AU VYUO AMBAVYO TUNAJUA VINAHITAJI TECHNOLOJIA HIYO. COMPUTERS SASA ZIMEKUWA AFFORDABLE HUKU NJE. HII INAHITAJI MAWAZO NA KUPATA RIGHT PEOPLE. SIASA TUIACHE NYUMBANI, I THINK THIS CAN REALLY MAKE A DIFFERENCE HUKO NYUMBANI. NA HII IDEA CAN BE EXPANDED TO OTHER FIELDS! MY BLOOD IS CCM LAKINI MCHANGO KAMA HUU UNAONYESHA UZALENDO ZAIDI KULIKO KUBAGUANA KUFUATANA NA ITIKADI UNAYOAMINI.
ReplyDeleteDu Lebabu kumbe umejichimbia Ukerewe!! ni siku nyingi sana Highlands Sec School....
ReplyDeleteHONGERA SANA WANA-CCM UK KWA KUENDELEA KUKIIMARISHA CHAMA.
ReplyDeleteUZI NI ULEULE WAKATI WAO WANAPIGA KELELE NINYI SONGENI MBELE MFUNGUE MATAWI MENGI ZAIDI NA ZAIDI KWANI KWA KUFANYA HIVYO MNATEKELEZA KWA VITENDO KUWA CCM NI CHAMA KILICHOKARIBU NA WANANCHI NA KINAWAFIKIA POPOTE PALE WALIPO.
KITU KIKUBWA AMBACHO NINAISIFIA CCM NI CHAMA AMBACHO KINAKWENDA NA WAKATI. KATIKA KIPINDI HIKI CHA UKUAJI WA TECHNOLOJIA YA MAWASILIANO NA HABARI AMBAYO IMEIFANYA DUNIA KUWA KAMA KIJIJI, HAIKUSITA KUTUMIA FURSA HIYO KUANZISHA MATAWI HATA ZAIDI YA MAILI 1000 TOKA DODOMA KWANI INAAMINI UMBALI WA MAILI NI NAMBA NA WALA SI KIKWAZO.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Mnalipwa kiasi gani ili kushiriki kwenye upuuzi kama huu??!
ReplyDeleteKidumu chama cha mapinduzi! hawa ni mafisadi wadogo wako jikoni wanapikwa. weka rekodi za picha na atakayekuwa hai baada ya miaka kumi tutakuwa tunasimuliana. Hilo ni jukumu mojawapo alilopewa Mhe Balozi mama nanihii!
ReplyDeleteMmmmhhh kwa wasio wajua tu . lakini kwa wanaowajua hao wote ni fix,malaghai, wapiga mchanga wa macho wa northampton hapo hamna chama wala nini kinachotafutwa hapo ni ulaji leo mtu kama Lila na Kasongo na siasa wapi na wapi ?. lakini poa ujanja kuwahi kesho mtamsikia Hassan mbunge wa Kikwajuni.
ReplyDeleteVipi CCM ya Houston imeishia wapi?
ReplyDeletehatujaona picha za wanachama wenu au hamna wanachama?
Tunakuoni mkiwa na nyuso za furaha ndani ya picha hii ya ufunguzi wa tawi la CCM Tunakubalia hapa kuwa sote ni WATANZANIA na ni wanachama wa CCM mtu asije akaleta manunguniko pale UTANZANIA wake utakapo hakikiwa
ReplyDeleteKWA WATANZANIA AMBAO HAWAJAWAHI KUISHI NJE NI KWAMBA WEWE KAMA SI MWANACCM BASI OLE WAKO SIKU UTAKAPOKUWA NA SHIDA UBALOZINI AU UNAPOHITAJI ADA NA PESA ZA KUJIKIMU HAPO NDIPO UTAKAPOJUA CCM NI NINI. HIVYO NDUGU ZANGU MTULAUMU VYOYOTE VILE SISI TUNALINDA UJIRA WETU MPAKA HAPO TUTAKAPORUDI NYUMBANI KWANI HII KITU NI KAMA SHATI. NADHANI HATA HUKO NYUMBANI MNAKUMBUKA AKINA LAMWAI, TAMBWE NA MARANDO WALIVYOPATA JOTO YA JIWE NA WALIPONA WALIPOREA CCM
ReplyDeletembona michuzi hujaweka comment yangu ambayo ilitakiwa iwe no 30 ---au kwasababu wewe ni shushu wa ccm na kila mtu anajua kwamba wewe ni nyoka tu
ReplyDeletesababu kubwa ya wao kijiunga na ccm ni njaa tu. Aibu iliyoje? Mnapoteza thamani ya utu wenu just because of njaa....shame on you all
ReplyDelete