Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Sumbawanga Mjini, PaulKimiti (Kushoto), bunge wa Kasulu Mashariki, Daniel Nsanzugwako na Mbunge waKalambo, Ludovic Mwananzila (wapili kulia) kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2009

    Kama Mugabe vile.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2009

    Mbunge:
    Mkuu Pinda Inakuwaje hela ya EPA imebaki kwenu tuuuu...? tuelezane basi ni michongo gani ili nimalizie ghorofa langu la nne, ahhhhh
    Pinda: mheshimiwa hata mimi naona jamaa wananiacha mabaki mabaki, kale kaplot kangu ka Sumbawanga ndo kwanza kanaanza, Ila nitaviweka vingi kabla ya 2015.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 19, 2009

    We anon wa pili kidogo umeisoma kinyume hiyo picha, iko hivi

    Mbunge: Mimi nikiwa waziri nilijenga mahekalu matatu, matatuu... Sembuse wewe waziri mkuu, hujaaamua tu.

    Pinda: Ah, kumbe mi mshamba. Unajua nilikuwa napanga nijenge mbili kijijini, moja ya kwangu na nyingine ya wazee. Arafu nishushe hekalu kali Dar. Sasa umesema hivyo nitayaporomosha.

    Wote:ahhhhhhhhhhh, kweli madaraka mazuri, fwedha mwelele tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...