askari polisi wa kituo cha urafiki wakitoa heshima zao wakati jeneza lililobeba mwili wa mwenzi wao sajini Jafari Ahmed Hassan likiwasili katika makaburi ya kisutu jijini dar jana. marehemu ambaye ni shemeji yangu, alikuwa akifanyia kazi kituo kidogo cha polisi cha Manzese Chama alifariki juzi na matanga yako nyumbani kwa baba yake kiwalani.
askari wakimuaga mwenzi wao kwa heshima zote za kijeshi
hivi ndivyo askari wanavyoaga mwenzi wao mara baada ya kuzikwa
maziko yas askari kwa heshima zote za kijeshi hayakamiliki bila risasi kurushwa hewani
mwakilishi wa askari polisi wa urafiki akisoma risala ya rambimbi kwa kuondokewa na mwenzi wao Jafari Ahmed Hassan baada ya maziko katika makaburi ya kisutu jijini dar jana





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2009

    Pole sana. Hiyo ndiyo mitihani ya maisha. Wote tunaelekea huko huko. Mungu amlaze mahala pema peponi....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...