Home
Unlabelled
enzi za mwalimu na karume
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hili ndo lilikuwa gazeti. I bet Mtikila could pay any price for a copy - but so could I, not any price, though. Lakini ukinipa free copy you go on my Christmas card mailing list forever...
ReplyDeleteMagazeti ya enzi hizooo...wakati waandishi wa habari walikuwa wanajua kimombo....siku hizi ukisoma magazeti ya kibongo kizungu chako unazidi kukiboronga.
ReplyDeleteNational assembly goes gay?Damnnnn kumbe haya mambo yako tangia zamani?
ReplyDeleteHebu na wewe unaye shangaa msemo eti national assembly goes Gay uache ushamba. Mawazo yako yanakutuma kwenye upuzi tu. Hujui maana ya neno Gay nawe?
ReplyDeleteYani michuzi umelikumbuka hili gazeti leo hii baada ya BUNGE letu kupitisha bajeti isiyoeleweka??!!! Eti lilivyoonekana siku hiyo... Kweli uandishi wa habari ni kipaji. MESSAGE SENT AND DELIVERED kudadadadeki.
ReplyDeleteWee neno moja lina maana nyingi wakti mwingine utegemea wakti na jamii' Gay' henzi hizo meant "Happy" some uelimike
ReplyDeleteMichuzi, please blow up that story for us, 'National Assembly Goes Gay' LOL!
ReplyDeleteAnony 5.35 PM, gay in that case does not mean homo. it meant the national assembly was in a lively mood
ReplyDeleteLively Mood? mambo ya full kujiachia yalikuwa hayapo kipindi hicho Goes Gay kweli.
ReplyDeleteAnon wa June 18,2009 10:10 Kapatia si Gay ya Homo walikuwa kwenye Lively Mood ya kupata Uhuru wao ukivuta hilo gazeti kama unakula Karoti au mchicha basi utasoma utaona na kuelewa. Pazi.
ReplyDeletegazeti hilo linatoa stori za zama hizo sawa na stori za Mzee Malecela kwenye link:
ReplyDeletehttp://www.dacb.org/stories/tanzania/malacela_yohana.html
muhishimiwa balozi na mkuu wa wilaya ya nanihii kumbe huu utamaduni wa April fools ulianza zamani saana!
ReplyDeleteIla wakati huo ulivuka mipaka yaani hadi kiasi cha kusema BUNGE LA INJI NI GEI?!
The term gay (ɡeɪ)primarily refers to feelings of being carefree", "happy", or "bright and showy"
ReplyDeleteUnfortunately it also has some connotations of "immorality" i.e., homosexual. However though the paper in question did use the word with the former meaning not the latter
Be educated
National Assembly Goes "Gay"...In my opinion, i think waandishi wa habari enzi hizo walikuwa wakitumia kiingereza kifasaha zaidi na walikuwa wakichimba maneno mengine ya ki-ngeli ambayo waandishi wa sasa ni kaputi...Gay doesn't necessarily mean "Homo", as explained by mdau hapo juu, this word has got three or four meanings but also, when you write a statement like that in today's world, the Government will sue your paper because this generation of the MP's will solemnly refer to "Gay" as HOMO, watakuja juu kama moto wa kifuu, wabunge wengi wa sasa hasa hasa "spesho cheaz"..tihitehe, skonga nehi....chiiiiaaaazzzzz
ReplyDeleteBy Mdau,
Ashkmatit
Picha ya Chini hapo wabunge wapo kwenye Gay Mood kina PInda tizameni jamaa anasema kapiga Bao tatu.
ReplyDeletewatu wengine mnakua kama mnajua kingereza cha mitaani peke yake. neno gay lina maana nyingi mojawapo ikiwa happy. hilo neno zamani waingereza walikua wanalitumia kama happy mpaka hao homosexuals wakajiita gay ndio watu wengine wakaacha kulitumia.
ReplyDelete