HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI
MHE. MUSTAFA HAIDI MKULO (MB.), AKIWASILISHA
BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU
MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA
MWAKA 2009/2010
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wizi MTUPU.
ReplyDeleteNajua lazima bajeti itakuwa finyu kwa kisingizio kuwa uchumi wa dunia umetikisika.
ReplyDeleteKAMA BAJETI YAKO UNA SENTI ZA KUNUNUA NJUGU NA MAANDAZI AU SAMAKI WA KUKAANGA, KAMUONE PEREZ WA GALACTICO ATAKUONGEZEA KIDOGO UNUNUE STEKI, MKATE WA SIHA NA SIAGI. ANAMWAGA TU DA DEKI. KAKA £59M, RONALDO £80, VILLA £40M, MESSI £30..TEH TEH TEH TEH. KASEJA £2/=. TEH TEH TEH. BAJETI AU MANENO...BAJETI MCHEZO!!!!
ReplyDeleteI'VE A QUESTION, PLS I NEED AN ANSWER. BUGDET YA TANZANIA NI SH. OR DOLLER ZA KIMARECAN NGAPI?
ReplyDeleteIT IS WHAT IT IS.
Kuna sababu yoyote ya kufurahia?
ReplyDeleteWIZI NA WIZI. HAMNA CHOCHOTE CHA MAANA HAPO!~! SANA SANA KUENDELEA KUOMBA MISAADA
ReplyDeleteWEE BALOZI MBONA HAPO ULIPOANDIKA BOFYA HAPA HAIFUNGUKI!
ReplyDeleteANYWAY NI BAJETI YENYE AHUWENI HASA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MTIKISIKO WA UCHUMI. BILA SERIKALI KUKINGA KIFUA HALI INGEKUWA MBAYA ZAIDI. TATIZO LETU TUNALAUMU SANA BILA KUTOA MPANGO MBADALA. BONGO LONGO LONGO
bajeti imelenga kumkomboa mkulima,milioni 700 zimetengwa kununua matrekta nchi nzima bei ya trekta moja tsh 40m hadi 50m/= so tutanunua matrekta 15 na kila mkoa utapata trekta moja hiyo 10 iliyobaki watakuwa wanatumia pamoja.
ReplyDeleteKIDUMU......!