

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
alokwambia international airport nani, haina hadhi yyt ya kuitwa ivo, kidumu chama cha mapinduzi
ReplyDeleteMichuzi na wewe unautani mbaya..U just made my day.Kiwanja kuna stress bila kumchungulia michuzi..unaweza kupitisha siku bila kucheka
ReplyDeleteHiyo ndiyo bongo....home sweet home!
ReplyDeleteNAFIKIRI ZANZIBAR NI MOJA KATI YA VIWANJA VICHAFU NA HAKIPO KATIKA HADHI YA KUITWA CHA KIMATAIFA,LICHA YA WATALII NA NDEGE KIBAO ZIKIRUKA DIRECT TOKA LONDON,MILAN,ROME,MADRID ZOTE HIZO ZIKILETA WATALII LAKINI UWANJA NI KICHEKESHO CHA KARNE.IKUMBUKWE UTALII NDIYO INAONGOZA KWA KUINGIZA FEDHA ZA KIGENI HIVI SASA.LAKINI WATAWALA SIJUI HAWAJUI AU HAWAJIFUNZI KWA WATANI WETU KENYA NINI WAMEFANYA MOMBASA AIRPORT
ReplyDeleteTena hapo sio kama mashine imeharibika jana au mwezi uliopita. Hapo hakujawahi kuwa na mashine ya aina yoyote. Sasa ukitoka nje kidogo tu hapo, kama ni jua litakupiga na mvua itakunyeshea wakati wa kucheck in. Yaani Airport ya Zanzibar ni aibu tena ya miaka mingi.
ReplyDeletehii arport yetu zenji ni aibu sana,inatia hela nyingi sana ila zote zinaishia kwa watu hasa wa migration na maofisa wengine wa serikali,utakuta watoto wadogo walioanza kazi juzi tu pale wa uhamiaji sasa anakwambia ana dola zaidi ya alfu arubaini ameeka ndani,tena walivo wajinga wanatuhadithia sisi mitaani,tourist seasons ndio balaa.....sasa unazani huo uwanja unaingiza nn na utatengenezwa vp kwa hali hiyo
ReplyDeleteYani misupu hii airpot ina watu wavivu sijawahi ona duniani safiri na precision ujionee kila ukitua hapo mida ya usku duty free yao ishafungwa asubuhi sana hawajafungua jamani mbona aibu tunalala mno kwa nini wahusika wasipange shift kutokana na flights?hata dar airpot uozo tu flight za asubuhi mtu unataka nunua kitu duty free haijafunguliwa saa kumina moja na nusu jamani?hebu tuache uvivu tufanye kazi natumai wahusika watapata kujifunza kia wanawashinda hebu na tuamke jamani nchi inatia hasira hii basi tu ...asante michu
ReplyDeletesirikali ya mheshmiwa karume ina mpango wa kuufanyia ukarabati uwanja wa ndege wa Zanzibar! tehtehteh....hahahahah.....hehehehe hii ndio zanzibar. labda wakipewa uhuru wao na Tanganyika ndio watawezakufanya hayo marekebisho.. huhuhuhu!!!!
ReplyDeleteYakhe, mwashambulia uwanja wetu utadhan viwanja vya ndege vya bara ni vya kimataifa! Mnayoita JKNIA ina hadhi gani ya kuitwa 'international'? KIA ina hadhi gani ya kuitwa international? Nendeni Jomo Kenyatta International Airport ndo mtajua nini maana ya international. Kama ni uozo si unguja tu hata bara upo.
ReplyDeleteserekali ya zanzibar imehamishiwa Mrima sasa ikiwa sisi hapa zanzibar tuwe na int airport Tanganyika wao wawe na nini ?wache wajikusanyie mafedha yao wale tu huo uwanja wa mtu bifsi kwa sasa aliyekwenda kenda utu na imani zimetutoka baadhi yetu pesa ndio mungu wetu kwa sasa
ReplyDelete