BANDA LETU KWENYE FESTIVAL YA UTAMADUNI HUKO ATHENS, GREECE
CHIKU NA NINDI KATIKA MAMBO YA MAANJUTI YA KIBONGO WAGIRIKI WAKIUDUMIWA KWA RAHA ZAO

AMANI KHERI AKIDUNDA KTK BANDA LA KWAO LA KITANZANIA KATIKA MAMBO YA FESTIVAL YA GREECE

BI TERY NA NINDI WAKIWA KATIKA BANDA LA TANZANIA MAMBO YA FESTIVAL MJINI ATHENS WAKITANGAZA NCHI NA MAMBO YAKE
BI TUNU AKIWA NA DADA TEREZA NA WATANZANIA WENGINE BANDANI KWETU




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2009

    Thereza Utadondosha jicho hilo mdogo wangu.Madame Holland

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2009

    Simply beautiful.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2009

    duh watanzania wako kila kona ya dunia ili mradi watoke bongo tu

    ReplyDelete
  4. Kulichangamka sana Ongeleni wabongo wetu hapa Athens

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 18, 2009

    safi hiyo michuzi, watz wamependeza Mungu awabariki TZ yetu iendelee kujulikana. hivi hiyo festival ni kama ile tushuhudia wakati wa 77?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 19, 2009

    Huyu ni yule mama Tery aliyekuwa anaelezea mambo ya ngono kwenye radio za kibongo.....du nilikuwa sijawahi kuona hata sura yake, kumbe ni "mucute", halafu hata hazeeki.

    Du mama endelea kuwafunda wabongo, ila du, unaonekana unalipa!

    Hongera mama yao au dad yetu!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 19, 2009

    ndugu yangu uliyemfananisha dada TEREZA na mama Teri umekosea kabisa,Tereza ni mwingine na mama teri ni mwingine,haya narudi tena mmeona umoja wa wabongo huo,huko bwana mambo ya ccm tawi sijui la wapi hakuna upuuzi huo,huko na nchi zingine kuna umoja tu igeni mifano hiyo acheni usanii wa kichama
    nawa misss sana watu wa wangu wa greece nchi niliyokuwa nimeizoea

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...