Home
Unlabelled
wadau waendeleza libeneke la utanmaduni wa bongo ugiriki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Thereza Utadondosha jicho hilo mdogo wangu.Madame Holland
ReplyDeleteSimply beautiful.
ReplyDeleteduh watanzania wako kila kona ya dunia ili mradi watoke bongo tu
ReplyDeleteKulichangamka sana Ongeleni wabongo wetu hapa Athens
ReplyDeletesafi hiyo michuzi, watz wamependeza Mungu awabariki TZ yetu iendelee kujulikana. hivi hiyo festival ni kama ile tushuhudia wakati wa 77?
ReplyDeleteHuyu ni yule mama Tery aliyekuwa anaelezea mambo ya ngono kwenye radio za kibongo.....du nilikuwa sijawahi kuona hata sura yake, kumbe ni "mucute", halafu hata hazeeki.
ReplyDeleteDu mama endelea kuwafunda wabongo, ila du, unaonekana unalipa!
Hongera mama yao au dad yetu!
ndugu yangu uliyemfananisha dada TEREZA na mama Teri umekosea kabisa,Tereza ni mwingine na mama teri ni mwingine,haya narudi tena mmeona umoja wa wabongo huo,huko bwana mambo ya ccm tawi sijui la wapi hakuna upuuzi huo,huko na nchi zingine kuna umoja tu igeni mifano hiyo acheni usanii wa kichama
ReplyDeletenawa misss sana watu wa wangu wa greece nchi niliyokuwa nimeizoea