Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Nanii na Balozi wa Heshima wa Nanii ...Asalaam aleikhum!
Usiku wa juzi ile bendi ya Wazalendo inayoongozwa na nguli wa muziki mkongwe Fresh Jumbe Mkuu (juu kati) inayojulikana kama The Tanzanite Band imefanya makamuzi ya nguvu katika ukumbi wa What the Dickens jijini Tokyo.
Onyesho hilo lilivutia na kuwachengua mashabiki wengi wa bendi hiyo waliofika usiku huo na kujiachia vilivyo.
Huyu bwana Jumbe yuko juu miaka nenda miaka rudi. Hashuki wala hachuji. Wenzie wote alioanzanao hooooiiii lakini yeye....Kiboko!.
ReplyDeleteKwenye hiyo show yao iliyo fanyika Continental Tokyo, wajapan walipagawa kinoma.
ReplyDeleteJumbe upo juu mtu mzima.
Big Up sana tuu!