

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mash Allah Dr. Burian huwa unapendeza sana
ReplyDeleteHuyo mwenye suti nilidhani John Mashaka.
ReplyDeleteUvinja au Uvira jamani? Au jina lilibadilishwa? Eneo hilo siyo DRC isipokuwa inapakana na Bujumbura? Maana nashangaa iweje Mheshimiwa Buriani apigwe tour na Waziri wa Burundi maana nilitegemea mwenyeji wa DRC ndiye angafanya hivyo. Au sielewi?
ReplyDeletekikwetu uvinza ni matusi...
ReplyDeleteau nimekosea!
We Anon wa 02:16 kikwenu kipi? Chiswahili au? Kwani wewe Mnyakyusa. Hakuna "f.." pale ila ni v utasemaje kikwenu ni matusi. Acha hizo
ReplyDelete