Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk. Batilda Buriani wakitembelea Bandari ya Uvinja katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Mheshimiwa Deogratias Ndunimana Waziri wa maji na Mipangomiji Burundi wakati wa Mkutano wa Tatu wa Nchi Zinazounda Mamlaka ya Usimamizi wa Endelevu na Ziwa Tanganyika HIvi Karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mash Allah Dr. Burian huwa unapendeza sana

    ReplyDelete
  2. Huyo mwenye suti nilidhani John Mashaka.

    ReplyDelete
  3. Moninga wa bisoAugust 30, 2009

    Uvinja au Uvira jamani? Au jina lilibadilishwa? Eneo hilo siyo DRC isipokuwa inapakana na Bujumbura? Maana nashangaa iweje Mheshimiwa Buriani apigwe tour na Waziri wa Burundi maana nilitegemea mwenyeji wa DRC ndiye angafanya hivyo. Au sielewi?

    ReplyDelete
  4. kikwetu uvinza ni matusi...

    au nimekosea!

    ReplyDelete
  5. Moninga wa bisoAugust 30, 2009

    We Anon wa 02:16 kikwenu kipi? Chiswahili au? Kwani wewe Mnyakyusa. Hakuna "f.." pale ila ni v utasemaje kikwenu ni matusi. Acha hizo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...