(YESU NI YEYE YULE, JANA, LEO NA HATA MILELE)

JUMAPILI 30 AUGUST, 2009
SAA 8.30 (2.30PM)

‘MLIVYOUZUNGUKA MLIMA HUU VYATOSHA,
GEUKENI UPANDE WA KASKAZINI’

MUNGU ANAJUA KIASI GANI UMEZUNGUKA KATIKA MAUMIVU, MASHAKA NA MENGINE MENGI MAGUMU, SASA ANASEMA YATOSHA, NI WAKATI WA KUGEUKA.

MCHUNGAJI MAGRETH LUKINDO KUTOKA TANZANIA AKISHIRIKIANA NA MCHUNGAJI TUMAINI KALLAGHE WA IBADA YA KISWAHILI READING WANAKULETEA UJUMBE WA MUNGU UTAKAOKUONGOZA KUGEUKA.

WAGONJWA NA WENYE SHIDA MBALI MBALI WATAOMBEWA
KARIBUNI WOTE
Odd Fellows Hall
188 Oxford Road
RG1 7NQ
READING
07983087998
For information:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. BWANA YESU KRISTO ASIFIWE SANA. MIBARAKA PIA KWA WENYE MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU.

    MAINA A. OWINO

    ReplyDelete
  2. Bwana Yesu Asifiwe. Hakikisheni mtakaoenda kwenye ibada hiyo mnatoa sadaka ya paounds and pennies sawa!!Ukitoa kwa furaha Mola anakuzidishia tele. Amen.

    ReplyDelete
  3. People on the outskirts of Dar Es Salaam will be best served by this sort of ujumbe. Charity begins at home...

    ReplyDelete
  4. kwa nini hawa wakawaombee watu huko UK?nYUMBANI KUNA WATU KIBAO WANAISHA KATIKA MASHAKA UGUMU NA MENGIYO,Wanaenda kuwaombea watu walioko kwenye neema tayari wanaacha wanaoishi kwenye ugumu au panaangaliwa penye sadaka?

    ReplyDelete
  5. Jamani China nako tuna hali mbaya
    Watumishi njooni na China jamani.
    Msilalie upande mmoja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...