President Yoweri Kaguta Museveni of Uganda(On the driving seat) shows President Jakaya Mrisho Kikwete the surroundings of his Private Ranch in Rwatiura Village in South western Province of Uganda recently at the end of Smart Partnership summit held in Kampala.Through various initiatives most pastoralists in Rwakitura village have adopted modern and improved methods of keeping their livestock.
President Jakaya Mrisho Kikwete and his host President Yoweri Kaguta Museveni of Uganda in an informal conversation at President Museveni's private ranch in Rwakitura village, in South Western Province in Uganda at the end of the Global 2009 smart Partnership summit held in the ugandan capital Kampala recently.President Kikwete toured the model ranch at the invitation of President Museveni and visited some pastoralists who have settled in the village and have adopted advanced methods of keeping their livestocks.some Pastoralists in the Rwakitura village told Presdeint Kikwete that the advanced and scientific livestock keeping methods have anabled them to earn enough cash to send their children to school and build better permanent homes.

One of the settled pastoralists in Rwakatura village, in Uganda John Texas(centre) explains to President Jakaya Mrisho Kikwete(right) and his host President Yoweri Museveni of uganda(left) the success of his new poultry project that eables him to earn substantial amount of income using simple but advanced scientific methods through extention services.President Kikwete was in Uganda to attend the Global 2009 Smart Partnership Summit in Kampala with the aim of working out joint development solutions to world's pertinet issues. Photos by Freddy Maro of State House.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Jamani rais wetu kapendeza,hiyo kofia imemfanya aonekane kijana.

    ReplyDelete
  2. JK THE MOST HANDSOME PRESIDENT IN THE WORLD.
    WAJINYONGE WENYE KUCHUKIA UKWELI NDIO HUO.HATA AVAE GUNIA ATATOKA MCHICHA.

    ReplyDelete
  3. hawajaomba ardhi Tz?

    ReplyDelete
  4. KOFIA NO KOFIA RAISI WETU BADO ANAONEKANA KIJANA NA HANDSOM WAKATI WOTE.

    ReplyDelete
  5. Jamaa mjanja sana huyu, unajua alimwambia nini JK baada ya ziara hiyo? "honourable Kikwete, can you give me some land in TZ so l could demostrate what you have just observed?"
    Kila kukicha majamaa wanaitolea mimacho ardhi yetu, take care ndugu zangu.

    ReplyDelete
  6. WIZI MTUPU!!!!

    ReplyDelete
  7. MediaViabilityAugust 02, 2009

    Kwa watu wenye elimu ya Body Language, JK anaonekana kama Dominant partner kwenye hayo Maongezi, that is a good sign for our President.

    Also another fact ni kwamba Kaguta is still a centre of Gravity for Uganda, Inabidi ajitahidi kumtafuta successor wake kama alivyofanya Nyerere ili awe na legacy njema dispite mambo ya hapa na pale(Mabaya) aliyofanyia waganda

    ReplyDelete
  8. Naona sasa Bagamoyo tumekwisha... tutanyang'anywa mashamba yetu yote yageuzwa ranchi... LOL....

    ReplyDelete
  9. RANCH NDANI YA AFRICA, TUMEKWISHA!! NAJUA ZILIKUWEPO, SASA ZINATANGAZWA HADHARANI, SIJUI!!!! NA UTABIRI WA SHEIKH YAHYA HUSSEIN, YETU MACHO.

    ReplyDelete
  10. Frankly speaking M7 kanifurahisha sana kwa kuamua kufanya kitu cha mfano kwa wananchi. Ningependa kuona Rais wetu Kikwete ajaribu kwenye kilimo maana mkwele na kufuga mbalimbali. Awe na shamba la mfano ambalo na sisi watz tutaweza kuiga baadhi ya mambo from Mr. President.
    Ila na sisi wananchi inabidi kubadilika.Rais au kiongozi kuwa na mali sio dhambi. Kama mimi mfanyakazi wa kawaida kabisa naweza kwenda bank na kuchukua mkopo wa up to 50m nikafanya biashara wakati naendelea na kazi yangu, why not the minister or president?

    ReplyDelete
  11. Why JK and not Mswati, Kibaki.........and the like taken to see Kaguta ranch????

    ReplyDelete
  12. Yep, la maana JK naye awe na Ranch. Kata mbuga Chalinze, weka maji, fungua ranch uncle. Umekuwa mjamaa mno kitu ambacho hakisaidii. Naona wamepozi kama wako Texas kwenye ranch za Mr. Bush, FirePower, UK

    ReplyDelete
  13. Museveni akija Tanzania JK amtembeze kwenye shamba lake la mananasi.

    ReplyDelete
  14. COWBOY KIKWETE NA COWBOY KAGUTA IN THE RANCH TEXAS HAHA HAHA AHAHA HAHA FARASI WAKOWAPI?

    ReplyDelete
  15. Na ranchi yetu yenye nguvu mpya na ari mpya na kiota kipya huku bUNJU Itatangazwa lini au ndio imewekwa lindi kwa mama nanihhiiii?

    ReplyDelete
  16. jamani lakini mnamshabikia huyu kaguta kalini je mnafahamu kwamba yuko ktk list ya the best 10 presidents ambao ktk miaka ya hivi karibuni wamejitajirisha kwa kuwaibia wananchi wao yaani kleptocracy? wengine wakiwa ni raisi wa indonesia,ufilipino,zaire(marehemu kuku wa zabanga mobutu seseseko),Uganda (m7)(DOLAR 1.7billion),nigeria(san),wazirimkuu wa ukraine,wazirimkuu wa ufilipino,yugoslavia(slobodan m),na rais wa zamani wa ufilipino.
    kwahivyo tunayo yaona yaliyotokea ktk utawala wa ben mmmh!huenda walimegeana mbinu, sasa baba kikwete umakini basi....!vinginevyo baadae.....black book

    ReplyDelete
  17. Kwa tunaosoma makala za uchumi na maendeleo zilizoandikwa na wataalamu wa kimataifa zinaonesha Uganda ina mipango mizuri kuliko Tanzania! Hii inadhihirisha kuwa Musevani ni kichwa au kachagua wasaidizi wasio wababaishaji kama mawaziri wa serikali ya Wadanganyika!

    ReplyDelete
  18. Mtoa Maoni:Tarehe Sun Aug 02, 02:51:00 PM,

    Hata wewe sio kila mtu ofisini au shuleni kwako uta-share nae mambo yako.... open your eyes

    ReplyDelete
  19. Museven ana mfundisha kikwete wizi! taratiibu, huyo jamaa haoni hata aibu kumuonyesha kikwete hiyo runch yake, wakati serikali yake ina deficit kwenye budget yao! wananchi wake wana lala njaa pale kisenyi, lakini yeye ana kula raha eti kwenye runch, viongozi waafrica nilini watakua na huruma na roho ya utu?

    Huyo mseveni ni mwizi tu? sasa kama kikwete nae anataka kuamwizi acheze nae!

    ukimuona mtoto wako anacheza na watoto watukutu una mkataza kwa hiyo sisi tunamkataza kikwete asicheze na Museveni kwasababu hana huruma,na hana utu!

    ReplyDelete
  20. wewe anon wa Aug 02, 10:00:00 tupe link inayoonesha hao best 10 presidents kwa ufisadi, ili tuhakiki kuwa museveni yumo na tuweze kuelimika zaidi

    ReplyDelete
  21. MUSEVENI NI MWIZI TU, MKEWE ALISHIKWA NA £1000,000.00 GATWICK AIRPORT, IMMIGRATION OFFICER WA UK WAKAMUULIZA YEYE NI NANI NA PESA ZA NINI, AKASEMA PIGENI SIMU KWA RAIS WA UGANDA ATAJIBU MASWALI YOTE HAYO. WAKAPIGA WAKANYWEA AKAACHIWA AKAONDOKA NA PESA ZAKE, UNAJUWA TENA WAZUNGUNG WANAVYOPENDA PESA, WALIJUWA ZITAINGIA KWENYE MFUMO WA UCHUMI WAO SO NO PROBLEM

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...