Home
Unlabelled
JK visit at Museveni's private ranch in Rwakitura village
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani rais wetu kapendeza,hiyo kofia imemfanya aonekane kijana.
ReplyDeleteJK THE MOST HANDSOME PRESIDENT IN THE WORLD.
ReplyDeleteWAJINYONGE WENYE KUCHUKIA UKWELI NDIO HUO.HATA AVAE GUNIA ATATOKA MCHICHA.
hawajaomba ardhi Tz?
ReplyDeleteKOFIA NO KOFIA RAISI WETU BADO ANAONEKANA KIJANA NA HANDSOM WAKATI WOTE.
ReplyDeleteJamaa mjanja sana huyu, unajua alimwambia nini JK baada ya ziara hiyo? "honourable Kikwete, can you give me some land in TZ so l could demostrate what you have just observed?"
ReplyDeleteKila kukicha majamaa wanaitolea mimacho ardhi yetu, take care ndugu zangu.
WIZI MTUPU!!!!
ReplyDeleteKwa watu wenye elimu ya Body Language, JK anaonekana kama Dominant partner kwenye hayo Maongezi, that is a good sign for our President.
ReplyDeleteAlso another fact ni kwamba Kaguta is still a centre of Gravity for Uganda, Inabidi ajitahidi kumtafuta successor wake kama alivyofanya Nyerere ili awe na legacy njema dispite mambo ya hapa na pale(Mabaya) aliyofanyia waganda
Naona sasa Bagamoyo tumekwisha... tutanyang'anywa mashamba yetu yote yageuzwa ranchi... LOL....
ReplyDeleteRANCH NDANI YA AFRICA, TUMEKWISHA!! NAJUA ZILIKUWEPO, SASA ZINATANGAZWA HADHARANI, SIJUI!!!! NA UTABIRI WA SHEIKH YAHYA HUSSEIN, YETU MACHO.
ReplyDeleteFrankly speaking M7 kanifurahisha sana kwa kuamua kufanya kitu cha mfano kwa wananchi. Ningependa kuona Rais wetu Kikwete ajaribu kwenye kilimo maana mkwele na kufuga mbalimbali. Awe na shamba la mfano ambalo na sisi watz tutaweza kuiga baadhi ya mambo from Mr. President.
ReplyDeleteIla na sisi wananchi inabidi kubadilika.Rais au kiongozi kuwa na mali sio dhambi. Kama mimi mfanyakazi wa kawaida kabisa naweza kwenda bank na kuchukua mkopo wa up to 50m nikafanya biashara wakati naendelea na kazi yangu, why not the minister or president?
Why JK and not Mswati, Kibaki.........and the like taken to see Kaguta ranch????
ReplyDeleteYep, la maana JK naye awe na Ranch. Kata mbuga Chalinze, weka maji, fungua ranch uncle. Umekuwa mjamaa mno kitu ambacho hakisaidii. Naona wamepozi kama wako Texas kwenye ranch za Mr. Bush, FirePower, UK
ReplyDeleteMuseveni akija Tanzania JK amtembeze kwenye shamba lake la mananasi.
ReplyDeleteCOWBOY KIKWETE NA COWBOY KAGUTA IN THE RANCH TEXAS HAHA HAHA AHAHA HAHA FARASI WAKOWAPI?
ReplyDeleteNa ranchi yetu yenye nguvu mpya na ari mpya na kiota kipya huku bUNJU Itatangazwa lini au ndio imewekwa lindi kwa mama nanihhiiii?
ReplyDeletejamani lakini mnamshabikia huyu kaguta kalini je mnafahamu kwamba yuko ktk list ya the best 10 presidents ambao ktk miaka ya hivi karibuni wamejitajirisha kwa kuwaibia wananchi wao yaani kleptocracy? wengine wakiwa ni raisi wa indonesia,ufilipino,zaire(marehemu kuku wa zabanga mobutu seseseko),Uganda (m7)(DOLAR 1.7billion),nigeria(san),wazirimkuu wa ukraine,wazirimkuu wa ufilipino,yugoslavia(slobodan m),na rais wa zamani wa ufilipino.
ReplyDeletekwahivyo tunayo yaona yaliyotokea ktk utawala wa ben mmmh!huenda walimegeana mbinu, sasa baba kikwete umakini basi....!vinginevyo baadae.....black book
Kwa tunaosoma makala za uchumi na maendeleo zilizoandikwa na wataalamu wa kimataifa zinaonesha Uganda ina mipango mizuri kuliko Tanzania! Hii inadhihirisha kuwa Musevani ni kichwa au kachagua wasaidizi wasio wababaishaji kama mawaziri wa serikali ya Wadanganyika!
ReplyDeleteMtoa Maoni:Tarehe Sun Aug 02, 02:51:00 PM,
ReplyDeleteHata wewe sio kila mtu ofisini au shuleni kwako uta-share nae mambo yako.... open your eyes
Museven ana mfundisha kikwete wizi! taratiibu, huyo jamaa haoni hata aibu kumuonyesha kikwete hiyo runch yake, wakati serikali yake ina deficit kwenye budget yao! wananchi wake wana lala njaa pale kisenyi, lakini yeye ana kula raha eti kwenye runch, viongozi waafrica nilini watakua na huruma na roho ya utu?
ReplyDeleteHuyo mseveni ni mwizi tu? sasa kama kikwete nae anataka kuamwizi acheze nae!
ukimuona mtoto wako anacheza na watoto watukutu una mkataza kwa hiyo sisi tunamkataza kikwete asicheze na Museveni kwasababu hana huruma,na hana utu!
wewe anon wa Aug 02, 10:00:00 tupe link inayoonesha hao best 10 presidents kwa ufisadi, ili tuhakiki kuwa museveni yumo na tuweze kuelimika zaidi
ReplyDeleteMUSEVENI NI MWIZI TU, MKEWE ALISHIKWA NA £1000,000.00 GATWICK AIRPORT, IMMIGRATION OFFICER WA UK WAKAMUULIZA YEYE NI NANI NA PESA ZA NINI, AKASEMA PIGENI SIMU KWA RAIS WA UGANDA ATAJIBU MASWALI YOTE HAYO. WAKAPIGA WAKANYWEA AKAACHIWA AKAONDOKA NA PESA ZAKE, UNAJUWA TENA WAZUNGUNG WANAVYOPENDA PESA, WALIJUWA ZITAINGIA KWENYE MFUMO WA UCHUMI WAO SO NO PROBLEM
ReplyDelete