Home
Unlabelled
MKUNGU MREFU KULIKO YOTE DUNIANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
duuuh, kama na waona wadau wetu wa kichaga na wahaya mate yanavyowatoka!
ReplyDeleteMdau hii picha mkundu ni huko Malaysia ni India kama unavyosema Mdau... Bofya hapa utaiona http://thumbnails.thestar.com.my/view.asp?id=4463
ReplyDeletehautwi mkungu, unaitwa mndizi, swahili gonga gonga kidogo hee
ReplyDeleteDuh Nkikiroo??! Lakini huo mgomba ni wakichawi au wamitambiko? Mbona naona vyungu, Sinia vinaingilianaje na huo mgomba?
ReplyDeleteLakini huo mgomba waelekea mkungu ndio ni mrefu ila ndizi zake haziwi na afya sana ni vidogo dogo. Yaelekea unaweza ukamenya ndizi hamsini ndio zikatosha katika mlo wa mtu mmoja kwa siku kwa jinsi vilivyo vidogo.
We anon 08:25:00am hebu acha ushamba na wewe. Tangulini mkungu ukaitwa mndizi?? Hehehehe hujaenda shule!!!Ulikimbia umande.
ReplyDeleteMti wa ndizi unaitwa Mgomba, Kile kinachoota kimeshika ndizi na ndizi kwa ujumla kinaitwa MKUNGU wa ndizi, na ndizi ni ndizi zenyewe.
Hakuna mndizi wala ndezi hapa.
mdau namba mbili hilo jina la mkungu ni kiboko yao jamani tuwe tunasoma meseji zetu kabla hatujazirusha kwa mkuu kweli mkungu huo umefana
ReplyDeleteAnony wa pili toka juu, chonde chonde hauitwi mkundu bali waitwa mkungu!!!
ReplyDeleteMkungu wa ndizi nafikiri umetoakana na neno `mkonga wa tembo' kwani unaonyesha kufanana,hivyo likakokotezwa neno `mkungu wa ndizi' kama ilivyo `mkonga wa tembo'
ReplyDeleteM3
HA HA HA MKUNDU MREFU KULIKO WOTE!
ReplyDeleteWAINDI HAWACHELEWI KUUABUSDU ATI NI MUNGU NDIZI.
Wadau mliochangia mmenichekesha balaa. Asanteni sana kwa kuniongezea siku za kuishi maana nimecheka mpaka nikalia!
ReplyDeleteMdau uliyemkosoa aliyesema mndizi, mwenzio kafanya kusudi tu. We wadhani ndo hajui kweli? Basi umenifurahisha ulivyopaniki kwa kudhani kuwa kweli hajui kumbe mwenzio ndo lengo lake, alijua atampata mtu wa aina yako!
burdani imeanza hapa mkungu..mdizi..mgomba..halafu mmoja kachafua hewa humu. Haya tuendelee .....
ReplyDeletena wewe mkilema tuondokee hapa, kujua mkungu wa ndizi kama unaitwa mkungu pia mtu mpaka uende shule? Kilema wa akili wee.
ReplyDeleteMatangalu
mti wa ndizi unaitwa Mdizi.
ReplyDeleteanony wa pili kutoka juu, wewe ni descendant wa mzee Mkan'ga wa magomeni? au vipi?
mbona nakuja hapa nachafua hali hewa kabisa.
waitwa mgomba huo, acheni ujinga
ReplyDeleteAnony 12:34 hiyo ni migomigo babu umenikumbusha mbali kaka,mzee mkang'a wa magomeni,simba wakutupa vipi zuna linaendeleaje ndani ya shibamu hotel...anony 2 si mchezo mku.du wa malaysia? hahaha
ReplyDeleteComments, burudani kabisa....
ReplyDeleteKwa hakika huu ni feki wa kichina,wachina kwa vitu feki wapo kila mahali
ReplyDelete