David Villa
RAFA BENITEZ will use the money from
the Xabi Alonso deal to bid for Spain striker David Villa.
Midfielder Alonso is expected to seal a £30million move to Real Madrid today - and Liverpool boss Benitez aims to pair Villa with current Kop frontman Fernando Torres in the double act that has been so deadly for the Euro 2008 champions.
Anfield skipper Steven Gerrard would move back into central midfield, alongside Javier Mascherano, with Benitez changing his formation to 4-4-1-1.
Villa, 26, has already turned down moves to Real and Barcelona this summer but Liverpool feel Torres can persuade his pal to leave Valencia for England.
Benitez, however, recognises potential difficulties in nabbing Villa and does have a Plan B.Roma midfielder Alberto Aquilani, 24, is seen as a possible replacement for Alonso, 27, who asked for a transfer to force through his move.
Bernabeu bigwigs are haggling over the fee and have suggested a cash- plus-player swap. Liverpool, though, would much rather take a full cash payment.
MDAUSHARIFF
Xabi Alonso
(dah jamaa kanoa stepu kweli...)


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. day livapuli tumepoteza kifaa hiki. alonso ni kiungo bora na real kweli wamepata. sasa mbona tutafulia season hii, labda kama tutafanikiwa kum-land david villa. so sad

    ReplyDelete
  2. Baba UbayaAugust 01, 2009

    hiyo habari umeitoa News of the WORLD nini?au the Sun?maana hao ndo wanaoongoza kwa udaku wa soka.wakishaona kimya kingi watafanya kila jitihada ili tu wauze habari zao.
    anyways,sipendi mzee wa dimba(Alonso) aondoke lkn kama Rafa akimnunua Villa hapo atakuwa kapoza machungu yangu na hata wapenzi wengine wa LFC.


    "Liverpool Milele"

    ReplyDelete
  3. Liverpool hamtaweza kumchukua villa kutoka valencia alishasema hatacheza nje ya spain na atabaki valencia
    http://soccernet.espn.go.com/news/story?id=664437&cc=5901

    http://soccernet.espn.go.com/news/story?id=663759&sec=transfers&cc=5901

    Kwa habari za uhakika za soccer tembelea
    www.soccernet.com
    Mwanajamii
    USA

    ReplyDelete
  4. BWAWA LA MAINI MTAFULIA SANA MSIMU HUU.. MA.. YAMEWABANA...

    ReplyDelete
  5. Hivi kwanini wahusika wakutundika habali za michezo kwenye blog ya viwanja.blogspot.com siku hizi hatuoni mpya mpya?au wako vekesheni kidogo!!mdau wa Gabon.

    ReplyDelete
  6. wadau naomba mnisaidie kunielimisha lengo la madrid kuchukua wachezaji wengi hata kama number moja itajirudia mara 3..
    walishamchukua ronaldo still bado wanamtaka na ribery nashindwa kuwaelewa

    ReplyDelete
  7. Ribery na ronaldo wote wanaweza kucheza number tofauti, kumbuka manchester Ronaldo alikuwa anahama, kushoto na kulia.

    Halafu pia nadhani wanajaribu kuua nguvu ya upinzani, yani mchezaji mzuri aije kuwa adui kwao akienda timu nyingine.

    ReplyDelete
  8. safiii sanaaaa kushangaa mwisho mara moja aliuzwa ronaldo kwani huyo nanniiii
    michuzi usibane hii asiyekubali kushindwa si mshindani ukibana umefulia
    old trarafodi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...