washiriki watano bora wa Redds miss Ilala 2009 katika shindano la kuwasaka warembo wenye vipaji lililofanyika ndani ya hotel ya Lamada Ilala, jijini Dar. Toka shoto ni Zena Rashidy (22), Slyvia Shally (19), Magreth Peter (21), na Doris Jimmy (18).
Redds Miss Ilala 2009 inaandaliwa na kampuni ya Dar Metropolitan kupitia kwa Mkurugenzi wake Jackson Kalikumtima
washiriki wa Redds Miss Ilala 2009 walipokutana na wanahabari


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Yep, naona Z. Rashid atashinda, wamuonaje mtoto alivyopendeza. mpaka shanga kiunoni. I will bleep U, FirePower, UK

    ReplyDelete
  2. Natafuta mchumba. Aliye tayari naomba aniandikie, namba (00123+) 903290384453

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...