bofya kimshale kuona video
Supa Tolu ni mtaalamu wa kunyonga vitanzi. Leo anatoa somo la bure kwa akina wenzangu na mie ambao ujuzi wa kufunga kitanzi iz noti richebo.....
Most read Swahili blog on earth
bofya kimshale kuona video
Supa Tolu ni mtaalamu wa kunyonga vitanzi. Leo anatoa somo la bure kwa akina wenzangu na mie ambao ujuzi wa kufunga kitanzi iz noti richebo.....
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ah! mithupu kweli una kipaji,
ReplyDeleteYani hapa najua wadau weengi hawajui kufunga tai,,sasa ulivyofikilia kutafuta huyu jamaa !yani umefanya la maana sana kwa sababu wengi wataiga kupitia hii njia moja kwa moja live.Mimi mwenyewe nilikua nafunga hooovyo sana,.Asante mithupu kwa kuvumbua mengi ya kutuelimisha....enderea kutafuta na mengine pia ,,.Ila yule mzee lick wakutupasha habali za michezo tunamhitaji maana ligi zimeanza.
Anko nanihii, leo kweli umetusaidia, kwani Michu
ReplyDeleteNami nilikuwa Nott kuchaboo nilikuwa sijui kufunga tai lakini leo na ili somo wacha nipige tizi AShukrani suppaa toliiii
ReplyDeletehuu ni ukoloni tu. kwani bila ya tai mtu hapendezi?
ReplyDeleteAhsante kwa hii shule, lakini imenikumbusha siku moja tulipata kabahati ka kwenda Ujerumani, na wakati mwenyeji wetu Mjerumani anatupa shule ya kuvaa tai, mmoja wetu alimuuliza yule mjerumani kwanini wao hawapendi kujifunza Kiingereza, kwani asilimia kubwa ya wao hawajui Kiingereza. Kweli si kweli?
ReplyDeleteUnajua alisemaje, `tujifunze ili iweje,ili tupate nini, itatusaidia nini hiyo lugha' baada ya muda akaongezea kusema.
`Wale ambao wanasababu maalumu ya kusafiri au biashara, wanaweza kujifunza hio lugha, lakini sisi haitatusaidia sana kujifunza, yapo mengi ya kujifunza zaidi ya hiyo lugha'
Na wakati tunajadiliana wenyewe mmoja akasema,kweli sisi inatubidi tujifunze kwasababu ya umasikini wetu, tusipofanya hivyo tutajuaje lugha ya kuombea misaada. Hawa Wajerumani hawapo katika nchii masikini, sana-sana watu wengine ndio wanatakiwa wajifunze lugha yao ili waende kuomba kwao.
Sasa swali hapa likanijia kichwani, tunajifunza kuvaa tai ili iweje? Mmmh, najua majibu ni mengi lakini ni kama chombeza la kujua umuhimu wa tai, ili tuone umuhimu wa kujifunza jinsi gani ya kuivaa.
Safi sana
ReplyDeleteLakini mimi napenda zaidi kutundika kile kitu kinachoitwa Double Windsor
The shape of the tie knot and the length of the tie is often a personal preference
Check out WINDSOR KNOT on Google if you want more information
Wakatabahu
We Anon wa 11;06 kila siku unapinga kinacholetwa humu. Hujui lingine ni kupingapinga tu. Unataka nini wewe??!!!!!!!!
ReplyDeleteHii ni vipi kujinyonga natai yani.
ReplyDeletewewe anon wa 01:14:00 PM ambaye ni bro michu, vp bana...tuliaaaaaaaa
ReplyDeleteWakati ninapata kipaimara mwaka 90 ni siku ya kuvaa suti/ shati zuri na tai.Vyote hivi nilikuwa navyo tatizo kubwa lilikuwa kuifunga tai. Kwa wapambe ambao walikuwa wananivalisha hawakuweza kuifunga tai. Ikabidi tuipeleke kwenye mtaa wa jirani kwa msaada.Basi hio v-shape "sambua" ilikuwa kubwa sana mpaka inakukata pumzi. Ilibidi nivalishe shati bila tai. Kidogo tu nichelewe kanisani. TAI 101 NICE...
ReplyDeletesupa tolu, long time mwana! goli lako lile lile karibu na ubalozi wa zamani wa UK, toka enzi zile natafuta kinyago mwana mpaka leo...Big up kwa sana, nakumbuka tukipiga stori long T enzi wazungu wanaleta za kuleta, walibana mpaka wakaachia wenyewe si unajua Man U hawakabiki.
ReplyDeletePeace Mwana.
Mzukaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa