Home
Unlabelled
waganga wa kienyeji ruksa???
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hawa waganga ni wezi wakubwa serikali haipaswi kuwaruhusu.
ReplyDeleteBiresh!yes hapo mlangoni lazima awe mganga ili kumuenzi baba wataifa,kwani kile kifimbo kinatakiwa kutunzwa kile..Ila angeongezeka na fundi viatu vya Mipila ya gari kwani hivi vitu aliviasisi..mtakatifu huyu japo hili la viatu yeye hakuwa mwene kulitumia.
ReplyDeleteKwakweli hawa waganga wamezidi, Matangazo yao sasa yamekuwa mapambo ya jiji. Mara kurekebisha kesi, kama ndio hivyo watu wasingekuwa wanafungwa basi. tungekimbilia kwao wote.
ReplyDeleteHalafu wanalenga tukio lile linalowakabili watu wa kipindi kile. Eti kukuza makalio na hips. Iweje Serikali inakataza wananchi kutumia madawa ya kukuza makalio na hips na iweje wao waruhusiwa ikiwa moja ya matangazo yao wanasema wanaweza kukuza hivyo vitu??? Me naona serikali ingekataza Pia Viongozi wa dini wakemee ipasavyo kuhusu hili wasikazanie tuu ngono CONDOM wakemee pia waganga kwani Dini haziruhusu kitu kama hiki ni Ushirikina.
Kwenda kwa mganga kwaajili ya mpenzi, zindiko, nk ni Ushirikina. Naomba hili likemewe.
Jamani hawa waganga wapigwe marufuku imezidi sasa Kaaaaaa!!! Ushirikina ushirikina kila mahali!!! Kama wanasaidia kesi wakawatoe hao wafungwa gerezani basi. Mapenzi babu ni mtu mwenyewe kama hujui kumuenzi mpenzi usitegemee kwenda kwa mganga. Utatumia dawa siku likikuchachia unaloo. Pia unamkosea Muumba wako.
ReplyDeleteHasa asilimia kubwa kinadada wanapenda sana waganga.
Hawa waganga wakomeshweeee.
hawa ndio wanaosababisha kuchunwa ngozi za watu na kuua albinos. Ni aibu kubwa kua serekali inawalea sana. Tuelimike watanzania mtegemee Mungu, pia ukiugua nenda hospitali sio kwa mganga wa kienyeji, na kama una kesi ndio maana kuna lawyers na mahakama hakimu akiwa kiongozi.
ReplyDeleteTUELIMIKE TUACHANE NA WAGANGA WANAKULA PESA ZA WATU KAMA WANAUWEZO WAJITAJIRISHE WENYEWE BILA KUINGIA KWENYE MIFUKO YA WATU. MUNGU HAPENDI HII BIASHARA