anko nanihii akiwa na MC wanaoongoza
kwa utanashati jijini. mara kwa mara kuwa pamoja kwenye minuso ya kumeremeta.
shoto ni MC harris kapiga ambaye pia ni mtangazaji wa praise power radio 99.2fm ambaye anakuwa hewani kila siku kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa nne katika kipindi cha 'nyota njema'. pia yeye ni modo na mtengeneza matangazo kama vile ya gold star na sasatel.
namba zake ni 0715/0784 - 484 737
------------------------
kulia ni anthony luvanda ambaye ni mfanyakazi wa benki ya Stanbic na pia humulikaga mwezi hapo hapo praise power radio 99.2fm katika kipindi cha 'praise & worship' na anatarajia kumeremeta mwezi ujao.
namba zake ni 0715/0754 - 088 461

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. SAMAHANI WADAU KUTOKA NJE YA MADA. MIMI NILIKUWA NAOMBA KAMA KUNA MTU AU KAKA MICHU MWENYEWE ANAYEWEZA KUNIPA JINA LA BLOG MOJA INAYOHUSIANA NA BIASHARA ZA NYUMBA,LIBENEKE HILI TULIPEWA LINK YAKE NA MZEE WA NANIIH HUMUHUMU KWENYE BLOG YA JAMII MIEZI KADHAA ILIYOPITA ILA KWA BAHATI MBAYA NIMEPOTEZA LINK HIVYO BASI NAOMBA KWA YEYOTE MWENYE LINK NA HII BLOG TAFADHALI NAOMBA MSAADA WA JINA KAMILI LA HII BLOG.

    MBEBA BOX UK

    ReplyDelete
  2. hawa mabwana wamekuomba uweke namba zao halafu ndio ili iweje sasa???ni swali tu msininaniliu bure........

    ReplyDelete
  3. Mdau nambari moja aka Mbeba boksi UK, linki ni hii hapa: http://dmkrealestate-tanzaniaproperties.blogspot.com/

    I hope ndio yenyewe hiyo unayotafuta. Boksi lidumu!!

    ReplyDelete
  4. umeniudhi ulipotoa wasifu wa huyo anaye tarajia kuoa hvi karibuni kwa nini??? why??? asioe sasa asubiri nakuja

    ReplyDelete
  5. mtoa maoni wa pili hao ni ma mc wameeka namba hili kama watu wanashughuli wanaweza kuwapa ajira.we ni mvivu wa kufikiria nini?

    ReplyDelete
  6. ahhhh Harris Kapiga, nakufahamu in and out

    ReplyDelete
  7. ze fulanazzz...ze michuzzz

    awa naoooo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...